UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Mbona hii issue ya whister blowers kuhusu vodacom fraud ipo wazi na wala haistaili kujadiliwa kabisa vodacom is multi million dollar company with its key owners vodafone registered in london stock exchange such fraud would have been international news.Na dealers wa vodacom only buy vouchers from vodacom ONLY sasa vodacom ishiriki kutegeneza vocha feki ku print na kuzisambaza kwa dealers wake ambao wapo wengi zaidi hawa planetel na Alphatel wanaotajwa kisiasa.hizi zitakua siasa chafu tu za kina membe
 
You don't know even to use Swahili which is your national language so is better if you stay aside frome me. "Nyimbo" mpya! instead of "Wimbo" mpya" Who was your Swahili teacher in primary/secondary school?

What I mean is that If this thread was in SWAHILI it could have got many comments than as it is in English

You also do not know English. What have you written down? I would advise you to use youe National Language if you want to be understood.
 
We hujaelewa story..soma tena

Mkuu nimeelewa ,, hiyo Reconciliation ni muhimu Ndio ingeweza kuprovide insight Ya upesi , pili je malalamiko Ya wateja waliokuwa wameathirika yalikuwa hayafanyiwi kazi au ? Maana hiyo hela ni kubwa na given kwamba denomination ilikuwa ni moja tu ya 500tzshs basi ingekuwa na alot of claims ,, Ila mkuu labda haujaelewa why reconciliations Ya purchase vs recharges ingesaidiaje ?
 
You also do not know English. What have you written down? I would advise you to use youe National Language if you want to be understood.

Changia thread, hapa siyo shule ya kata kuanza kufundishana kiingereza
 
Nyaraka hizi kutoka ndani ya Vodacom Tanzania yenyewe zinaashiria kuwa hii kashfa ni ya ukweli!
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    44.4 KB · Views: 250
  • 2.jpg
    2.jpg
    41.8 KB · Views: 238
  • 3.jpg
    3.jpg
    48.5 KB · Views: 233
  • 4.jpg
    4.jpg
    45.9 KB · Views: 233
  • 5.jpg
    5.jpg
    64.6 KB · Views: 206
Na hii hapa ni barua ya Vodacom Tanzania kuvunja mkataba na kampuni ya Shivacom kutokana na kashfa hii ya wizi wa vocha ambazo walioibiwa ni wananchi masikini wa Tanzania wanaoweka vocha za shilingi 500 kwa wingi...
 

Attachments

  • terminate.jpg
    terminate.jpg
    68.9 KB · Views: 247
  • 9.jpg
    9.jpg
    54.4 KB · Views: 222
Nyaraka za ndani kutoka Vodacom Tanzania zinaonesha jinsi ufisadi huu ulivyofanywa
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    92.1 KB · Views: 237
kweli wewe nyalu tena wa milimani
wimbo mpya 'mmoja'
nyimbo mpya 'mbili na kuendelea'
kumbuka jamaa hakutaja idadi ya nyimbo.
lkn pia kwenye kimakonde hatunaga "so is better" mbaya, chafu, haipo,

Huyu mnyalu junior bure kabisa
 
Hapo anayetafutwa na kuchafuliwa ni lowasa kisa,fred anamiliki alphatel ili mje mseme hizo ndo hela anazotumia lowasa kufanyia kampeni,jamani mbona mnamuandama mzee wa watu bila sababu,gwajima alishawaambia

Anatafutwa na nani!!?
 
Hizo pesa ni za voda au ni za umma? Nauliza tuu jmn..

Subiri Prof. Tezi dume atawaita wazee wa Dar es Salaam hapo Diamond Jubilee alihutibie taifa awaeleze siyo za umma. usiwe na haraka, bado ana mgeni akiondoka kurudi US tutapata majibu.

Huyu Rostam na Lowassa si ndiyo walimweka madarakani? Ref: EPA.
Si ndiyo walitakiwa wajipime na waachie madaraka?
Rostam si ndiye alikuwa mweka hazina wa CCM?
???? ??? ??? Nchi hii na utawala huu hauna mfanowe.
Eee Mungu wetu, kama ni adhabu imezidi, twaomba msamaha.
 
@Lekakui soma hii halafu tafuta JICK ya kumsafisha mheshimiwa sana
tangu 2010 mambo yanajulikana kaka ni wewe tu

1 Gazeti la Raia Mwema la Novemba 2010 ,
liliripoti na kuonyesha picha ya nyumba
ambayo familia yako inamiliki Uingereza .
Ukasema ni ya mwanao . Je, kwa nchi
maskini kama ya kwetu , ni sahihi kwa
kiongozi mkubwa kumiliki nyumba kubwa
na ya kifahari nje ya nchi ?

2 . Mkapa alipounda Baraza la Mawaziri
jipya mwaka 1995 alikuacha . Wengi
wanasema kwamba Mwalimu alimwambia
asikupe hata Uwaziri je Kwanini mwalimu
Alikukataa???

3 . Tangu mwaka 1994 , yaani miaka 20
sasa, Afrika ya Kusini imekuwa inakodisha
nyumba yako Masaki kama Ubalozi wake .
Kuna tetesi kwamba huko nyumba walitaka
kuhama lakini wakaogopa kuihama nyumba
inayomilikiwa na kiongozi mkuu na kuna
tetesi kwamba sasa wanataka kuhama
lakini wanatishiwa kwamba hamuwezi
kuhama nyumba ya Rais ajaye . Ni kiasi
gani cha fedha umepata kwa miaka 20 ya
kukodisha nyumba hiyo ? Je kiasi hicho
kimeripotiwa kwenye fomu ya maadili?

4 . Kuna maelezo kwamba nyumba hiyo ya
Masaki ambayo Mzee Mandela alikuja
mwaka 1994 kuufungua ubalozi mpya wa
Afrika ya Kusini ndicho chanzo kikuu cha
Mwalimu kusema kwamba inakuwaje kijana
wa miaka 41 , akiwa mtumishi ya umma
maisha yake yote na mshahara wake
unajulikana , anamiliki hekalu kama lile na
tena kulikodisha kwa Serikali ya kigeni . Je,
unasemaje kuhusu hili ?

5 . Pia unamiliki ranchi kubwa sana kule
Mzeri Handeni . Ranchi hiyo ilikuwa ranchi
ya taifa lakini ukajimegea na sasa
umeipanua kwa kumega maeneo zaidi .
Ranchi hiyo uliipata ukiwa bado kiongozi
wa umma. Je, mtu aliyewahi kuwa Waziri wa
Mifugo na Waziri Mkuu kujiuzia ranchi
iliyokuwa ya Serikali inaendana na dhana
ya uongozi safi na uliotukuka? Tukikupa
madaraka makubwa zaidi hautajiuzia kila
kitu? Vilevile, katika nchi ambayo wananchi
wengi hawamiliki ardhi , kwa kiongozi
anayetaka kuwa Rais wetu , kuhodhi eneo
kubwa la ardhi , inatuma picha gani kwa
wananchi hao ?

6 . Kwenye sakata la Richmond , ujasiri ni
kusema ukweli au kubwaga manyanga?
Kama ungesema ukweli na usingejiuzulu
kwenye Richmond , Chama kingeathirika
vipi wakati unasema hakuna kosa
lililofanyika???

7 . Kwanini kwenye kila tukio la kitaifa
ukisimama tu karibu na Kikwete
unahangaika kutuma picha kwenye
magazeti na mitandao yote ???

8 . Katika miaka yako 40 ya utumishi wa
umma, kuna jipi jipya ambalo umelisahau
na sasa utalifanya kwenye Urais???

9 . Umekuwa Waziri wa Ardhi , mbona
matatizo ya ardhi bado tele nchini ?
Umekuwa Waziri wa Maji , mbona matatizo
ya maji bado tele ? Umekuwa Waziri wa
Mazingira, mbona kuna matatizo ya
uchafuzi wa mazingira ? Umekuwa Waziri
wa Mifugo, mbona wafugaji bado maskini
na wanahangaika ?? huo urais unautaka wa
nini kama uwaziri umekushinda???

10 . Kwenye sikukuu hii , kila MNEC kapata
milioni 1 , hizo ni milioni 370 na kila
mjumbe 500 , 000 hizo ni bilioni 2 . Hizi
pesazinatoka wapi na zitarudishwa vipi? Je,
kuna zoezi la usafishaji wa pesa chafu
linalofanywa kupitia kampeni yako???
 
Subiri Prof. Tezi dume atawaita wazee wa Dar es Salaam hapo Diamond Jubilee alihutibie taifa awaeleze siyo za umma. usiwe na haraka, bado ana mgeni akiondoka kurudi US tutapata majibu.

Huyu Rostam na Lowassa si ndiyo walimweka madarakani? Ref: EPA.
Si ndiyo walitakiwa wajipime na waachie madaraka?
Rostam si ndiye alikuwa mweka hazina wa CCM?
???? ??? ??? Nchi hii na utawala huu hauna mfanowe.
Eee Mungu wetu, kama ni adhabu imezidi, twaomba msamaha.

Ni fedha za wananchi na za umma. Tumeambiwa kuwa kuna wananchi masikini walinunua vocha za sh 500 za Voda na kukuta hazifanyi kazi kumbe wahuni wameshaingiza sokoni vocha nyingine mapema zenye PIN hizo hizo. Pia hawa jamaa waliuza vocha za zaidi ya shilingi bilioni 600 bila kulipa VAT. Ni pesa za umma hizi zimepigwa kupitia kampuni binafsi
 
Nyaraka hizi kutoka ndani ya Vodacom Tanzania yenyewe zinaashiria kuwa hii kashfa ni ya ukweli!

Huu wizi ni mkubwa kuliko EPA na escrow. Media za Tanzania haziwezi kuandika haya kwani wamenunuliwa wote na Vodacom kupitia matangazo
 
Kwanza nilidhani hii skendo siyo kweli, ila baada ya kusoma hii barua ya mwanasheria wa Vodacom kwenda kwa Tanil Somaiya wa Shivacom, ni dhahiri kuwa huu ni ukweli mtupu. Media za Tanzania zifuatilia hii kwa undani. Tanzania kweli shamba la bibi, wizi kila kona.
 
Back
Top Bottom