UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Bwana Mushi, usirushe mawe ungali ndani ya nyumba ya vioo. Unakumbuka ile bahasha ya mwaka 2015 iliyowafanya mkabadili gia angani na kudeki barabarani ilitoka wapi? Akina Mdee na Lema wanajua vizuri maana kila mmoja alililamba vipande 300. Endelea kurusha mawe.
Usiassume kwamba mimi nina chama. Labda hauifahamu historia ya jamvi hili.
 
Ililetwa zamani sana hii, haina mashiko.
Kuna wakati ff huwa unanisikitisha kwa majibu yako. Inshu hapo si ukale au usasa wa tukio, inshu ni jinsi gani hii kadhia iliisha na huku watuhumiwa wakiwa wanaonekana na mh. Rais wetu anayejibainisha kuwa mchukizi wa rushwa.
Mtoa mada na wengineo wanapata maswali, je mheshimiwa rais atawachukulia hatua kama zinachukuliwa kwa ufisadi uliojitokeza hata miaka 20 nyuma.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Thanks a lot!👍🏽🙏🏾
 
Magu kumkaribisha Rostam na Rostam kumleta Lowasa wote hawa wamemkuta master mind Chenge, Haya ni maandalizi ya wizi wa pesa za kununua wapiga kura.
Kama mna kumbukumbu Magu ndie rais aliyetumia pesa kubwa katika kampeni kushinda watangulizi wake wote. Kwa Magu sasa hana shida kubwa tena baada ya hii timu ya wezi mahiri nchini kuwa kambi moja na kula sahani moja nae.
Shetani kamwe hajawahi kuongoka hata akipewa huo mda hawezi kuongoka. Vivyo hivyo na hili genge la mafisadi(ccm).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Ndio mdini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa! Kama kuchukia ufisadi ndo udini, basi hiyo ndiyo dini yangu ya kwanza kabisa!

Naona kuna watu mnaumia kwelikweli! Kwanini? Nilidhani wote tuko pamoja dhidi ya wabaya wa Taifa letu?

Ulishawahi kuusikia mfano wa Mao Zedung na mwanawe ambaye alienda vitani akakamatwa na maadui enzi hizo Japan walipoivamia China? Kama hufahamu, uliza halafu nikueleze inahusianaje na habari hii!
 
Bwana Mushi, usirushe mawe ungali ndani ya nyumba ya vioo. Unakumbuka ile bahasha ya mwaka 2015 iliyowafanya mkabadili gia angani na kudeki barabarani ilitoka wapi? Akina Mdee na Lema wanajua vizuri maana kila mmoja alililamba vipande 300. Endelea kurusha mawe.
Acha kujishushia credibility yako! Ni kweli umjinga but not to that extent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati ff huwa unanisikitisha kwa majibu yako. Inshu hapo si ukale au usasa wa tukio, inshu ni jinsi gani hii kadhia iliisha na huku watuhumiwa wakiwa wanaonekana na mh. Rais wetu anayejibainisha kuwa mchukizi wa rushwa.
Mtoa mada na wengineo wanapata maswali, je mheshimiwa rais atawachukulia hatua kama zinachukuliwa kwa ufisadi uliojitokeza hata miaka 20 nyuma.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Kama una update ya hiyo habari ya kale si ulete! Ndiyo nikasema, upupu ulete wewe, ukuwashe wewe, tukukune sisi! Majanga
 
Alifungua mahakama ya mafisadi hajafunga hata mmoja
Something needs to be done
Kuna mtu anasema ya zamani... udini utakuumiza
Usitugawanye WaTz kwa udini wako ....huyu ni wa kupuuzwa kama sikio la PUNDA

HATA KAMA YA ZAMANI So what?! Tuna haki ya kujua pesa za walipa kodi zinaenda wapi
Acha tufukuliwe makaburi maybe one day this idiots thieves will be apprehended..
Enough is enough
Acheni unafiki, huyu Fred Lowassa alikuwepo CHADEMA juzi tu kaonsoka hamkumsafisha wala kumuuliza ajisafishe na kashifa hii kabla ya kuingia CHADEMA.

Siasa zingine tunaonekana hatujitambui mbele za wapiga kura. Tunadhihirisha unafiki na ukigeugeu wetu.

Ajenda ya ufisadi haitaisaidia CHADEMA imeshakinajisi chama mwaka 2015 bora sasa tuahike ajenda ya demokrasia na hali ngumu ya maisha au uchumi wa kila mtu kiujumla.
 
hapa ni suala la kukubali kiroho safi kuwa lowasa ameshakwenda,tena mnapaswa kushukuru kwani ingewawia ngumu kumkata huyu mzee kwenye mchakato wa kutafuta mgombea urais,majungu ya style hii yalibamba enzi za jk,kwani alikuwa anataka kuridhisha kila mtu,ingawa hii scandal haikufika hata bungeni kwani yalikuwa ni maneno yasiyo na ushahidi,,sasa eti rostam akawa implicated kisa amekaa kimya,kwani yeye ni mhasibu wa vodacom?,roastam alikuwa mmoja wa wenye hisa,hili suala angeulizwa mkurugenzi wa vodacom,sio roastam
 
Back
Top Bottom