hapa ni suala la kukubali kiroho safi kuwa lowasa ameshakwenda,tena mnapaswa kushukuru kwani ingewawia ngumu kumkata huyu mzee kwenye mchakato wa kutafuta mgombea urais,majungu ya style hii yalibamba enzi za jk,kwani alikuwa anataka kuridhisha kila mtu,ingawa hii scandal haikufika hata bungeni kwani yalikuwa ni maneno yasiyo na ushahidi,,sasa eti rostam akawa implicated kisa amekaa kimya,kwani yeye ni mhasibu wa vodacom?,roastam alikuwa mmoja wa wenye hisa,hili suala angeulizwa mkurugenzi wa vodacom,sio roastam