Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
===
FACT CHECKED: Wasanii walioambatana na Rais kwenye Royal Tour si kweli kuwa wanalipwa kiasi hicho cha fedha kilichotajwa. Jamiiforums, inatambua kuwa wasanii wamelipwa kwa kazi na sio kwa siku. Na fedha wanayolipwa haifiki kiwango cha Tsh. milioni kwa fedha za kitanzania. Taarifa zaidi kukujia.