Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
sasa 3MIL pamoja na hotel kwa siku USA kuna tatizo gani? .... huoni kama wakirudi watakuwa na salio la kutosha mfukoni ambalo watalileta huku beach kidimbwi na kugawana na wazalendo wengine...
Tunasemaga KAZI NA BATA ! Au siyo ???!!Inawezekana kama wameenda kama consultant, na tena ni ndogo. Walipaswa iwe mil 10 kwa siku.
Wewe acha uongo, 3,000,000/2300 = dollar 1300 kwa siku hakuna rate ya dollar 1300 serikalini sana sana watakuwa wamelipwa dollar 300 kwa siku na hii inawatosha kwa kiwango chao cha vyeo vyao. hiyo dollar 1000 inakwenda wapi???Hela ndogo sana kama ni pamoja na gharama za hotel. Waache na wao wale maana wameacha shughuli zao majumbani mwao na familia pia zinawategemea.
CHATO Sio Marekani per diem yake kwa siku sio nyingi kwa rate za serikali.Mbona mwendazake alikuwa anahamisha ikulu kwenda chato na watu kibaoooo....!
Acheni nongwa mwacheni mama.
Shida iko wapi mpaka kuita ufisadi...
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Kama Nyani NgabuKuna wabeba box wangapi wanajua kucheza ngoma hilo dili si wangewapa diaspora tu.
Huu mfumo ccm ni shida ndugu watanzania!
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Ungeenda wewe ukakate mauno mkuu ulipwe wew, huo ni wivu tuy
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Kwanza wale misosi gani huko; unapiga mkate na kasoda mambo yanasonga shekeli zingine unarudi nazo kuja kufanya mambo ya kiuchumi!Umeniwahi. Kwa exchange rate ya Leo wanapata Dola 1300 tu. Wakijifanya kula misosi kama ya home watarudi na mabegi tupu. Menu za misosi ukizikuta utadhani ni pesa kiduchu tu. Ukizibadilisha kuwa madafu hautakula. Jambo lingine ni Inflation marekani Iko juu kidogo.
Milioni tatu hizo ni dola karibia 1500 kumbuka wako jiji la new york mi naona wamewaonea sana itakua wanalala vichochoroni huko na hamna hata kula bata..
Ukishaanza habari yako na maneno 'inasemekana' tayari umeshapoteza uhalali wa kuaminiwa. Jifunze sanaa ya uandishi.
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki mbili.
NB: Karibu Tanzania nchi ambayo bodaboda ukimtazama tu anawasha pikipiki 😄!
Wanapokosa cha kuandika huja na uzi wa kimbea ambao chanzo chake ni majungu.Uzi wa chuki na wivu huu ufutwe haraka sana unajejenga chuki tu hakuna lolote "kagame anapolipa 1.5 trillion p/a huko uingereza kila mwaka huyu ungemwitaje?
Nimerudi.Milioni tatu hizo ni dola karibia 1500 kumbuka wako jiji la new york mi naona wamewaonea sana itakua wanalala vichochoroni huko na hamna hata kula bata..