YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine
Mchambuzi wa maswala ya kijeshi ya vifaa vya kivita akihojiwa na CNN amesema kuwa Urusi kila mwaka imekuwa ikitenga mabilioni ya dola kununua vifaa vya kivita, kutengeneza na spea Zake lakini pesa hizo zimekuwa zikiishia mifukoni mwa magenerali wa Jeshi na Putin na kwenda kuzificha nchi za Magharibi hazifanyi kazi kusudiwa
Hawanunui wala kufanyia service vifaru na magari ya kivita na ku test mara kwa mara.Matokeo yake mfano matairi ya magari ya kivita mengi ni low quality ya kutembea kilomita chache na kuharibika hawakuweka yale imara ya kutembea kilomita nyingi pasipo kuharibika
Kutokana na vifaru na magari ya kivita kutofanyiwa service na kujaribiwa mara kwa mara Jeshi la Urusi limejikuta mengi yakiwemo vifaru kuharibika ghafla njiani na magari kuharibika njiani na matajiri kupasuka hovyo .
Akaonyesha picha za baadhi ya magari yaliyopelekwa Ukraine ya kivita yale yanayobeba makombora yakiwa ni yale yaliyotumika vita ya Iraq yakiwa yametelekezwa Ukraine na wanajeshi wa Urusi baada ya kuharibika wakayaacha yakiwa na makombora yake ambayo hayajatumika kabisa na kukimbia, hivyo kusababisha ushindi wa bure kwa Jeshi la Ukraine kwenye hayo maeneo