Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

Kwani hujamsikia Putin akiomba mazungumzo?

Kuomba mazungumzo, kuomba kusitisha mapigano, nk mbona ni mkakati wa kawaida katika vita?
PUTIN kaomba mazungumzo nakueka masharti yake inamaana kaeka mtego jamaa akikubali mazungumzo na PUTIN akubali masharti yake kama atakubali hapa PUTIN atakua kashinda kwa 100% kama atakataa maana yake mazungumzo hamna kwahio PUTIN atakua anaendelea tu kupeleka moto
VIVA PUTIN
 
Wengi nikiwamo mimi niliamini itachukua siku mbili au tatu Russia watakuwa wameishaiteka Kiev na Ukraine nzima. Lakini leo ni karibia mwezi na hakuna dalili. Hapa hakuna propaganda. Ni ukweli mtupu.
kama uliamini PUTIN na RUSSIA wanaweza kuichukua UKRAINE kwasiku moja ama mbili mpaka mwezi itakua ulidhania vita kama game ya kwenye simu ndio maana
 
PUTIN kaomba mazungumzo nakueka masharti yake inamaana kaeka mtego jamaa akikubali mazungumzo na PUTIN akubali masharti yake kama atakubali hapa PUTIN atakua kashinda kwa 100% kama atakataa maana yake mazungumzo hamna kwahio PUTIN atakua anaendelea tu kupeleka moto
VIVA PUTIN
wenzio wanasema hiyo njia mojawapo ya kuretreat ili wajipange upya baada ya wanajeshi wake wengi na vifaa vingi vy akijeshi kuteketezwa na ukraine. anataka apate nafasi kupumua atakavyokuja sasa atakuja kivingine kabisa. kwasababu russia anajua fika kwamba masharti anayoyaweka ya kuitambua crimea, na yale majimbo mawili yanayojitenga ni kitu ambacho Ukraine hawatakuja kukikubali kirahisi. yet they keep on imposing the same conditions, kama sio kutafuta nafasi kupumua ili wajipange upya ni nini? na wakija wanaweza kuja na madhara makubwa sana.
 
wala sio kujipanga upya
jamaa wanajua kama masharti yataktaliwa na UKRAINE ili wao wazidi kutoa kifinyo
mpaka UKRAINE yote wapite nayo kama walivyopita na CRIMEA
kama munajidanganya kua RUSSIA kazidiwa huku miji hapo UKRAINE inakua majivu zaidi poleni sana
 
unajua, hata akipita na Ukraine yote ikawa Russia (akiannex), bado atapakana tuna nchi ambazo NATO wameweka base yao pale, Poland ni mojawapo, na nchi zingine kadhaa za balkan. naamini lengo la putin sio annexation, ni kuharibu kabisa uwezo wa kijeshi na kuweka mtu wao pale ambaye hataingia makubaliano na NATO.
 
naam nandio lengo kuu kama alivyokua yule alotoka
malengo ya RUSSIA nikama ilivyokua pale BELARUS shida sio kupakana na NATO kama atabeba UKRAINE
ila anatak hayo mataifa mawili yawe kama buffer zone ikitokea ukazuka mgogoro na NATO yaani ukitaka uipige RUSSIA kwanza huku ukumbane na UKRAINE pale BELARUS
yaani mpaka ukiingia ile RUSSIA yenyewe basi ipo taaban
wamefungia channel za RUSSIA kutulisha matango pori yao
 
Inawezekana ikawa kweli kuna propaganda, ila leo hackers, walichoifanyia website ya tv ya taifa ya urusi ni balaa!!wameidukua na kuweka video halisi za kinachoendelea ukraine, daaa!!ambacho warusi wengi ndani ya Urusi walikuwa hawajawahi kukiona!!jinsi makombola yanavyoharibu majengo, na watu wanavyokimbia!!!
hata waweke nn MKUU kipigo kitaendelea kama kilivyopangwa
nakinaendelea kama kilivyokusudiwa
 
naam nandio lengo kuu kama alivyokua yule alotoka
malengo ya RUSSIA nikama ilivyokua pale BELARUS shida sio kupakana na NATO kama atabeba UKRAINE
ila anatak hayo mataifa mawili yawe kama buffer zone ikitokea ukazuka mgogoro na NATO yaani ukitaka uipige RUSSIA kwanza huku ukumbane na UKRAINE pale BELARUS
yaani mpaka ukiingia ile RUSSIA yenyewe basi ipo taaban
wamefungia channel za RUSSIA kutulisha matango pori yao
lakini kati ya channel zinazolisha dunia matangopori, za wamagaribi hizi unazoziangalia zinaongoza. wamecontrol minds za dunia wanawasukuma kama walevi. ukiwa objective ndio utawajua. hata issue ya ukraine unaona walivyocharua, utafikiri duniani hakuna vita nyinge ambayo walitakiwa kucharuka hivi. ni wanafiki. kama wazungu wangekuwa wanacharuka hivihvi wangeshaisambaratisha rwanda, uganda na mataifa yanayosababisha vita DR Congo. lakini huko congo watu wanakufa balaa ila hawana thamani kama waukraine. hapo ndio utajua kuwa issue sio ukraine, issue ni kutaka kuisumbua Russia.
 
PUTIN kaomba mazungumzo nakueka masharti yake inamaana kaeka mtego jamaa akikubali mazungumzo na PUTIN akubali masharti yake kama atakubali hapa PUTIN atakua kashinda kwa 100% kama atakataa maana yake mazungumzo hamna kwahio PUTIN atakua anaendelea tu kupeleka moto
VIVA PUTIN

Viva Putin?

IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Ngoja nizame kwa mantilie nipate wali dagaa 1500 juis ya passion 300 na maji ya bure ,kisha niweke bando nianze upembuzi yakinifu juu ya godoro geto
 
NATO says that up to 40,000 Russian troops have been killed, wounded, taken prisoner or are missing in Ukraine, said a senior military official from the alliance.

The North Atlantic Treaty Organization calculates the figure based on information provided by Ukrainian authorities and information obtained from Russia--both officially and unintentionally, the official said.

NATO estimates that between 7,000 and 15,000 Russian soldiers have been killed since the invasion began on Feb. 24. Using statistical averages from past conflicts that for every casualty roughly three soldiers are wounded, NATO analysts reach their total figure.

Russia began its invasion with roughly 190,000 troops. It has since brought in additional troops from Chechnya, Syria and other locations.
 
Dogo Zelensky machachari sana
Kama mchekeshaji DJ Zelensnkyy Raisi wa Ukraine anampelekesha Putin vile vitani je Putin angekutana vitani na Raisi Serious baba lao Joe Biden wa Marekani ingekuwaje Putin angejifungia chooni
 
Back
Top Bottom