Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Hata ukisema unatupa Mwezi mmoja wala hatushtuki sababu mlianza na Masaa 48 kuwa mtateka Nchi nzima.Nakupa wiki moja uje uandike tena.
Kwani vita hii imejawa na propaganda na uongo mwingi.
Pia tayari Kuna majeshi ya nchi nyingine yamo ukryein yanapigana na mrusi kimya kimya,Ila chamoto watakiona kwani Sasa itapigwa vita ya moja kwa moja badala ya kwenda kwenye ground