Ufisadi Jeshi la Urusi waibuka ndio sababu ya magari na vifaru kupigwa na Ukraine

Lazima ichelewe kutokana na mbinu aliotumia rais wa UKRAINE kulazimisha raia kutoondoka kuingia vitan ndio sababu kuu , we fikiria wanaume kuanzia miaka 18 hamna kuondoka nchi nzima ni watu wengi kiasi gani sasa wanetumia raia Kama ngao ya kujikinga lakin ingekua Putin anapigana na jesh tu ingekua Kama kumsukuma mlevi tu
Lakini hao raia wana uzoefu gani wa kivita hadi waisimamishe Russia kwa karibu mwezi mzima sasa. Ukweli ni kwamba jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa. That's the bitter truth.
 
Mkuu hii ni operation ndogo ya urusi ,urusi imetoa takribani ya 10% ya jeshi lake na 5% ya silaha zake ,hivyo kwa urusi ni kama operation ndogo ,wakiweka mzigo robo tuu Ukraine ndan ya siku tatu inatiwa nguvuni sema ,kwenye hii ishu urusi kaanza na ka operation na kanaonekana kanafanikiwa.
Haya mataifa ukisikia urusi,marekan na uae ,na China mziki wake siyo mdogo ni hatar
Asilimia 10 ndio bado wanaomba msaada China na mamluki juu kutoka Syria, unafahamu kwamba vita kukaa muda mrefu gharama zinakuwa ni balaa au hulijui hilo. Wewe nenda udanganye watoto wenzako.
 
Kweli akadanganye watoto
 
Hajashinda na hawezi kushinda ...soma maelezo ya mtoa mada tena!
 
Kwahiyo tufike hitimisho kuwa mwamba ngoma ....
No! Iko hivi unapotaka kupata ukweli lazima uatafute zaidi ya source moja , zikiwemo neutral sources..mwisho oanisha na mazingira utapa uhakika.
* Kumbuka siyo habari zote toka vyanzo vya magharibi ni propaganda the same to mashariki.
 
We umeipata neutral source gan
 
No! Iko hivi unapotaka kupata ukweli lazima uatafute zaidi ya source moja , zikiwemo neutral sources..mwisho oanisha na mazingira utapa uhakika.
* Kumbuka siyo habari zote toka vyanzo vya magharibi ni propaganda the same to mashariki.
Uko sahihi media ziko za nchi kibao zikiwemo za Asia kama Aljazeera,za India ,za Japan za China ,South Amerika,South Afrika nk
Na western countries ziko media independent kibao
 
Nakupa wiki moja uje uandike tena.

Kwani operation hii imejawa na propaganda na uongo mwingi.

Pia tayari Kuna majeshi ya nchi nyingine yamo ukryein yanapigana na mrusi kimya kimya,Ila chamoto watakiona kwani Sasa itapigwa vita ya moja kwa moja badala ya kwenda kwenye ground nadhani habari ya Jana umeipata
Unavyotokwa mishipa ya shingo nyuma ya key board sasa,utadhani hata ulishawahi kusogea frontline🙂
 
Pro-USA, taarifa zako huwa ni za kipekee sana. Ni wewe tu unayekuwa source.
Za Por Russia source yao ni TBC ya Putin peke yake,bila aibu wanatupia clip from Russia Today🙂
 
Lazima ichelewe kutokana na mbinu aliotumia rais wa UKRAINE kulazimisha raia kutoondoka kuingia vitan ndio sababu kuu , we fikiria wanaume kuanzia miaka 18 hamna kuondoka nchi nzima ni watu wengi kiasi gani sasa wanetumia raia Kama ngao ya kujikinga lakin ingekua Putin anapigana na jesh tu ingekua Kama kumsukuma mlevi tu
Hakuna vita inayopiganwa raia wake wakiwa wote wameondoka kwenye nchi husika. Wakimbizi watakuwepo lakini haiwezekani raia zaidi ya milioni 30 wote wakimbie nchi. We kubali tu Mrusi amepata changamoto ingawa atashinda
 
Nakupa wiki moja uje uandike tena.

Kwani operation hii imejawa na propaganda na uongo mwingi.

Pia tayari Kuna majeshi ya nchi nyingine yamo ukryein yanapigana na mrusi kimya kimya,Ila chamoto watakiona kwani Sasa itapigwa vita ya moja kwa moja badala ya kwenda kwenye ground nadhani habari ya Jana umeipata

Hamna lolote kwa Putin mizaha tu, kila cku ngonjera mara ni ops ya siku mbili, tulivyohoji ikazuka sera mwan usa aliingia iraq baada ya siku ngap haya mwez sasa unakata ndio kwaanza kila cku tunaona uharibifu mkubwa kwenye vyombo vya russia
 
Kutokana na vifaru na magari ya kivita kutofanyiwa service na kujaribiwa mara kwa mara Jeshi la Urusi limejikuta mengi yakiwemo vifaru kuharibika ghafla njiani na magari kuharibika njiani na matajiri kupasuka hovyo .

18 March 2022

Damage to Russian equipment raises questions about its military effectiveness

Former U.S. Army Vehicle Auditor Trent Telenko analyzes poorly maintained Russian military trucks and explains what this means for the Russian army.

Source : ABC News

For want of a nail the shoe was lost. For want of a shoe the horse was lost.

The saying comes from a longer proverb about a battle during which the loss of a nail in a horseshoe leads to the loss of a horse, which leads to the loss of the rider, which leads to the loss of the battle, which in turn leads to the loss of a whole kingdom.

For want of a battle, the kingdom was lost, And all for the want of a horseshoe nail.” Benjamin Franklin included a version of this proverb, preceded by the words, “A little neglect may breed great mischief,” in Poor Richard's Almanack in 1758 when the American colonies were at odds with the English Parliament.
 
Lost war because of a nail? How do details affect a business? Short educational film

You've probably heard the old saying: For want of a nail, the horseshoe was lost. For want of a horseshoe, the steed was lost. For want of a steed, the message was not delivered. For want of an undelivered message, the war was lost. It was also featured in Fast and the furios. This video intends to show the meaning of that proverb and project it into today's business life.
Steed = a horse being ridden or available for riding.
 
Lazima ichelewe kutokana na mbinu aliotumia rais wa UKRAINE kulazimisha raia kutoondoka kuingia vitan ndio sababu kuu , we fikiria wanaume kuanzia miaka 18 hamna kuondoka nchi nzima ni watu wengi kiasi gani sasa wanetumia raia Kama ngao ya kujikinga lakin ingekua Putin anapigana na jesh tu ingekua Kama kumsukuma mlevi tu
Hebu fanyeni kuja na sababu mpya,hii tushaichoka tangu vita ina siku 3 mnaimba hili hili shairi,Tuliwaambia si rahis kwenda nyumbani kwa mtu hata kama ni mnyonge kiasi gani,ukamchukulia mkewe na kuitawala nyumba yake kadri upendavyo mkawa mnabisha.Leo hii mnakuja na blah blah hizi,yes zote anazotumia Ukraine ndiyo mbinu zenyewe za kivita,ulitaka afanye nini kumbe. Mwanaume ni Zelenskyy tu hapo kamlaza macho babu yenu Putin leo karibu mwezi mzima.Povu ruksa Warussi wa Sangabuye 🙂
 
18 March 2022

Damage to Russian equipment raises questions about its military effectiveness

Former U.S. Army Vehicle Auditor Trent Telenko analyzes poorly maintained Russian military trucks and explains what this means for the Russian army.

Source : ABC News

For want of a nail the shoe was lost. For want of a shoe the horse was lost.

The saying comes from a longer proverb about a battle during which the loss of a nail in a horseshoe leads to the loss of a horse, which leads to the loss of the rider, which leads to the loss of the battle, which in turn leads to the loss of a whole kingdom.

For want of a battle, the kingdom was lost, And all for the want of a horseshoe nail.” Benjamin Franklin included a version of this proverb, preceded by the words, “A little neglect may breed great mischief,” in Poor Richard's Almanack in 1758 when the American colonies were at odds with the English Parliament.

Naona unagonga penyewe kabisa Mkuu,ngoja waje pro Russia na experience zao za matairi used ya IST,watambishia hata huyu mtaalamu kisa ni Mmarekani🙂
 
Hata ukisema unatupa Mwezi mmoja wala hatushtuki sababu mlianza na Masaa 48 kuwa mtateka Nchi nzima.
Kila nikikumbuka yale majigambo mwanzoni mwa hii vita kuanzia kwa Putin mwenywe alivyokuwa anawaamrisha Wanajeshi wa Ukraine hadi mashabiki zake hapa JF,huwa naishia kucheka tu.
 
Back
Top Bottom