Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nchini China, siku ya Ijumaa, maafisa tisa, wakiwemo maafisa wawili wa juu wa jeshi, wamefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa Reuters, waliotimuliwa ni pamoja na Jenerali He Weidong na Admirali Miao wa Jeshi la Wanamaji. Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya China.
Maafisa hao wamefukuzwa jeshini na pia Chama cha Kikomunisti, wakikabiliwa na mashitaka ya rushwa. Hatua hii inachukuliwa kuwa ndiyo kali zaidi katika kampeni ya kupambana na rushwa iliyoanzishwa na Rais Xi Jinping tangu mwaka 2023.
He Weidong alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), nafasi ya pili kwa ukubwa katika Jeshi la Ukombozi wa Wananchi wa China (PLA). Tume hiyo ndiyo yenye mamlaka ya juu ya kijeshi chini ya uongozi wa Rais Xi Jinping. He Weidong hakuonekana hadharani tangu Machi 2025.
Admirali Miao alikuwa Kamanda wa Jeshi la Wanamaji na mwanasiasa mwandamizi wa jeshi. Aliondolewa kwenye CMC mwezi Juni na alikuwa anachunguzwa tangu Novemba 2023.
================
In China, on Friday, 9 officials, including two top military officers, have been dismissed. According to Reuters, these include General He Weidong and Navy Admiral Miao. The Chinese Ministry of Defense has provided this information.
They have been expelled from the army and the Communist Party and the army on charges of corruption. This is considered the biggest action under President Xi Jinping's anti-corruption campaign, which began in 2023.
He Weidong was the Vice Chairman of China's Central Military Commission (CMC), which is the second highest position in the People's Liberation Army (PLA). This commission holds the supreme command of the army under the leadership of President Xi Jinping. He had not been seen publicly since March 2025.
Admiral Miao was a Navy Admiral and a former top political officer of the army. He was removed from the CMC in June and had been under investigation since November 2023.
He Weidong, a close associate of President Xi Jinping
He Weidong is considered a close associate of Xi Jinping. Both had worked together in Fujian and Zhejiang provinces in the 1990s. He was directly appointed to the post of Vice Chairman of the CMC in 2022, which is usually obtained only after service in the High Commission.