Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
"...nyumba ya mhifadhi mkuu wa shamba la miti ukaguru ndg Mohamed Msalu..."
Kwa hiyo kwa akili zako unaamini hiyo nyumba ya kwenye picha hapo juu imeanza kujengwa kipindi cha utawala wa Mh. Rais SSH mara baada ya kifo cha Mwendazake? Muwe mnachanganya na akili zenu kidogo basi siyo kubaki na za kuambiwa tu.Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?.
HASWAAAAH!Huo wizi umeanza tokea Enzi za mwendazake hata hiyo nyumba imeanza kujengwa kipindi cha magufuli....wajanja wamepiga Sana hela Enzi za mwendazake
Ufisadi haujawahi kuisha au kupungua nchi hii sema kipindi cha meko kila mtu alikuwa muoga kuuweka wazi lakini pesa zililiwa sana!!zamu hii lazima hayo yaonekane sana kwani kipindi kirefu yamefanyika bila kuwekwa wazi!!sasa kila chombo cha habari chenye taarifa yoyote ya ufisadi ruksa kuuweka hadharani, mama asihukumiwe kwa hayo!!View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Mkuu usiwalaumu akili za kuchanganya hawana...Kwa hiyo kwa akili zako unaamini hiyo nyumba ya kwenye picha hapo juu imeanza kujengwa kipindi cha utawala wa Mh. Rais SSH mara baada ya kifo cha Mwendazake? Muwe mnachanganya na akili zenu kidogo basi siyo kubaki na za kuambiwa tu.
Watu wanakera sana yaani wana akili za kukariri password tu.Mkuu usiwalaumu akili za kuchanganya hawana...
Bado kila mtu anatafuta ubongo wake aliotupa kwenye dustbin.Mkuu usiwalaumu akili za kuchanganya hawana...
Wewe jamaa na "stori" yako hiyo ya hao watoto...!View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Mkuu 'Babati' Bhwaanaah!Watu wanapagua siyo kuiba tena, maza naye kagawa nyumba na gari, siyo mbaya kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Wee jamaa siku moja utaolewa na CHADEMA.Umeona na lile banda la Chadema la tsh 50,000,000 pale Serengeti kwa CPA Ruge?
Huu ujenzi wa hii nyumba unaonesha kabisa ulianza kabla ya Pombe kufariki. Sasa utasemaje kuwa wizi ndiyo umeanza?! Kauli sahihi ni kuwa wizi unaendelea! Hapo unataka kumpakazia mama wa watu tu!View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Huo wizi umeanza tokea Enzi za mwendazake hata hiyo nyumba imeanza kujengwa kipindi cha magufuli....wajanja wamepiga Sana hela Enzi za mwendazake.