Alafu jamaa wako zao ubelgiji wanachokonoa meno tuhUmeona na lile banda la Chadema la tsh 50,000,000 pale Serengeti kwa CPA Ruge?
Mama bado anajipanga?Miradi yote naona ipo likizo kidogo
Nimecheka sana. Abiria wote kwenye treni wananishangaa. Hadithi nyingine zinachekesha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Jamhuri ya JF utapata taabu sana kuielewa, kwanza kitu ambacho inawezekana hawafahamu ni kwamba MATAJIRI WOTE WAPO CCM ama kwa kupenda au kulazimishwa na uhalisia na ulazima wa kutunza mali baada ya kuwa tajiri.View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
wewe umepiga pia au unawasikia tu nawewe??Huo wizi umeanza tokea Enzi za mwendazake hata hiyo nyumba imeanza kujengwa kipindi cha magufuli....wajanja wamepiga Sana hela Enzi za mwendazake.
Wakati wa marehemu gharama zilikuwa maradufu, ila watu kwa sababu ya ujinga waliaminishwa kuwa ubadhirifu ulikuwa umedhibitiwa kabisa.View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Huo wizi umeanza tokea Enzi za mwendazake
Mchomekee Kalamu huo Mataga MwandamiziWee jamaa siku moja utaolewa na CHADEMA.
Enzi za Mwendazake ni kama tulipunguza sauti ya radio ila radio haikua imezimwa nyimbo zilikua zinaendelea kama kawa.Huo wizi umeanza tokea Enzi za mwendazake hata hiyo nyumba imeanza kujengwa kipindi cha magufuli....wajanja wamepiga Sana hela Enzi za mwendazake.
View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Hapa mnajiaibisha bro, ulaji wa mwendazake ndiyo unawekwa wazi!! Hii nyumba kwamba imejengwa ndani ya mwezi mmoja!? HaiwezekaniView attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Mimi nimeanza kupiga hela tokea Enzi za mkapa Hadi Leo napiga tuwewe umepiga pia au unawasikia tu nawewe??
kwanini una hasira sana na magufuli wakati utawala wake umekula maisha sana!!!Mimi nimeanza kupiga hela tokea Enzi za mkapa Hadi Leo napiga tu
Waliokula ni akina Biswelu Mganga na kikundi cha Wachunga Ng'ombe wenziekwanini una hasira sana na magufuli wakati utawala wake umekula maisha sana!!!
sorry huo ujenzi umeanza kipindi gani?View attachment 1783314
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.
Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.
Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"
Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?
Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?
Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.
Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Umejifariji ee!? Endelea kubariki wezi.HASWAAAAH!
Nyumba haijajengwa ndani ya miezi miwili. Imeanza kujengwa huku mwendazake yupo, CAG angesema wangesema anamchafua mwendazake.
Mamluki waliokuwa wanataka LEGACY ya mwendazake, wameona it's too forward, wameamua kuja kivingine, wameanza na bandari, hawaku-coordinate tukio vizuri, likabuma, werevu wakawashtukia, wasiotaka utawala wa mama Rais, wanahangaika SANA.
Sukuma GANG, at work.
Everyday is Saturday................................😎