Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

View attachment 1783314

Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.

Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.

Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.

Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"

Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?

Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?

Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.

Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Ili twende sawa toa reference ya huo ujenz ulianza lini?
 
Ufisadi haujawahi kuisha au kupungua nchi hii sema kipindi cha meko kila mtu alikuwa muoga kuuweka wazi lakini pesa zililiwa sana!!zamu hii lazima hayo yaonekane sana kwani kipindi kirefu yamefanyika bila kuwekwa wazi!!sasa kila chombo cha habari chenye taarifa yoyote ya ufisadi ruksa kuuweka hadharani, mama asihukumiwe kwa hayo!!
Mmmh uwe na aibu hata kidogo bro! Kwa hiyo kipindi hiki ufisadi ukikithiri justification itakuwa ni kwamba Kuna transparency zaidi kuliko kipindi kilichopita?

Ukubali tu kuwa mzee alikuwa mfatiliaji Mambo mengi aliyaibua kabla hata hivyo vyombo vya habari havijapata hizo taarifa, na hicho ndo kipimo cha kiongozi anayefatilia mambo, ukiona ufisadi hadi unaripotiwa na media ujue Kuna shida mahali.
 
Umejifariki ee!? Endelea kubariki wezi.
Wasukuma buana, UMEJIFARIKI??
Umejifariki mwenyewe kama tusi!😅😂
Hata kuandika kiswahili kazi, nahene loloo
Useme ukweli hilo jengo, ujenzi ulianza lini nkhoi?

Everyday is Saturday................................😎
 
Wasukuma buana, UMEJIFARIKI??
Umejifariki mwenyewe kama tusi!😅😂
Hata kuandika kiswahili kazi, nahene loloo
Useme ukweli hilo jengo, ujenzi ulianza lini nkhoi?

Everyday is Saturday................................😎
Asante . Nimesahihisha.
 
Back
Top Bottom