Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

Kwa hiyo kwa akili zako unaamini hiyo nyumba ya kwenye picha hapo juu imeanza kujengwa kipindi cha utawala wa Mh. Rais SSH mara baada ya kifo cha Mwendazake? Muwe mnachanganya na akili zenu kidogo basi siyo kubaki na za kuambiwa tu.
Hebu zinarekebishwa baada ya kuona sasa hakuna mfuatiliaji.
 
Huu ujenzi wa hii nyumba unaonesha kabisa ulianza kabla ya Pombe kufariki. Sasa utasemaje kuwa wizi ndiyo umeanza?! Kauli sahihi ni kuwa wizi unaendelea! Hapo unataka kumpakazia mama wa watu tu!
Ujenzi unawezekana kuanza zamani but now zile hesabu zinachezewa watu wanakula cha juu. Mbona rahisi sana. Kumbuka haikuwa imekabidhiwa. Hakuna mama wa watu. Kuna Rais. Mama nyumbani kwake.
 
View attachment 1783314

Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.

Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.

Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.

Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"

Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?

Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?

Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
unataka kuaminisha watu kuwa hiyo nyumba imejengwa kwa mwezi huu mmoja tu Samia akiwa madarakani?
 
Huu ujenzi wa hii nyumba unaonesha kabisa ulianza kabla ya Pombe kufariki. Sasa utasemaje kuwa wizi ndiyo umeanza?! Kauli sahihi ni kuwa wizi unaendelea! Hapo unataka kumpakazia mama wa watu tu!
Hawa SUKUMA GANG hawashirikishi kabisa ubongo ,mama ndio kwanza ana siku 53 tangia achukue kijiti ,ameshindwa kujiuliza hizo siku 60 za mama tenda walitangaza lini? Mchakato wa kumpata mkandarasi ulipatikanaje? Kuaanda material kuanza ujenzi ndani ya siku 50 nyumba ishakamilika hahaaa.
 
Achana naye ni miongoni mwa watu wasiojitambua Magufuli Magufuli wamekufa mitume itakuwa huyo mwenyewe watu wasijilikana
Huo wizi umeanza tokea Enzi za mwendazake hata hiyo nyumba imeanza kujengwa kipindi cha magufuli....wajanja wamepiga Sana hela Enzi za mwendazake.
 
HASWAAAAH!
Nyumba haijajengwa ndani ya miezi miwili. Imeanza kujengwa huku mwendazake yupo, CAG angesema wangesema anamchafua mwendazake.

Mamluki waliokuwa wanataka LEGACY ya mwendazake, wameona it's too forward, wameamua kuja kivingine, wameanza na bandari, hawaku-coordinate tukio vizuri, likabuma, werevu wakawashtukia, wasiotaka utawala wa mama Rais, wanahangaika SANA.
Sukuma GANG, at work.

Everyday is Saturday................................😎

Huu ni upumbavuh mpya wa kuamini kila anayempinga Rais ni Msukuma. Pole sana... Kama atakosea atakosolewa tu. Tulivyomkosoa Magufuli tutamkosoa na Samia. Hatutaacha sababu ya nyie kuwa wapambe wake. Sisi tupo huru.
 
Daaa hapa siyo sawa, 😂😂😂🤣

Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"

😂😂😂😂😂🤣.
 
Hapana mkuu tunahitaji maridhiano ya kitaifa hayo mengine sio muhimu. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
View attachment 1783314

Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.

Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.

Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.

Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"

Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?

Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?

Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.

Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Unadhan mchakato wa ujenz wa hiyo nyumba ulianza miez mitat iliyopita???
 
Mkuu 'Babati' Bhwaanaah!

Wewe bado unalilia 'magofu' yatakayokuwa mapango ya popo na kusahau jinsi mama anavyopanga mipango mikubwa zaidi ya kutusambaratisha kama taifa?

Anasema "anakwenda kufungua nchi," ambayo kiuhakika haikufungwa, bali ni nati tu zimekazwa..., hivi umejaribu kuifikiria kwa makini zaidi kauli hiyo?

Ardhi ndiyo nyenzo kubwa kabisa kwa maskini wa kiTanzania; badala ya kuwezeshwa (kwa njia mbalimbali, hata elimu tu katika matumizi ya ardhi hiyo, ni kuwezeshwa), mama anataka awazawadie waliomfurahisha kwenye kikao chao huko ughaibuni!

Na hilo ni moja tu, hatujui na mengine makubwa zaidi ya kufungulia nchi yanayopangwa ni yapi!

Sasa ndugu yangu, hivyo vighorofa visikupe 'pressure' kubwa zaidi, mazito zaidi yako njiani yanakuja.
Miradi yote naona ipo likizo kidogo
 
View attachment 1783314

Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.

Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.

Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.

Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"

Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?

Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?

Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.

Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Acha wapige tu maana kina cha maji kifupi
 
Kuna lile shamba la hifadhi JPM alizindua kule chato mngeijua gharama ya ujenzi wa zile ofisi mngeshika vichwa watanzania.

Naishia hapa.
 
Huu ni upumbavuh mpya wa kuamini kila anayempinga Rais ni Msukuma. Pole sana... Kama atakosea atakosolewa tu. Tulivyomkosoa Magufuli tutamkosoa na Samia. Hatutaacha sababu ya nyie kuwa wapambe wake. Sisi tupo huru.
Bagoshaaaaaaah hiiiiiiiiiiiii!
Kumbe unampinga kwa kutumia taarifa na tukio la kipindi cha Rais mwendazake??
Unamkosoaje rais aliyepo kwa kutumia tukio lililotokea kipindi cha mwendazake??
Kukosolewa atakosolewa ila siyo kwa uzushi na propaganda zenu mfu, wape salamu SUKUMA GANG!
Mh SANA Rais Samia ameleta Suluhu ya kutuongoza miaka takriban 14 bila vimelea vya SUKUMA GANG. ATAKE ASITAKE😃

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
View attachment 1783314

Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.

Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini.

Akalia...akabembelezwa na kurudi kulala. Kaka yake aliumizWa sana na kitendo hicho. Wazazi wakasubiria baada ya dk chache wakaamini watoto wamelala.

Wakaanza tena kufanya tendo la ndoa kwa fujo za raha zao.ndipo mkubwa akapiga kelele akimwambia mdogo"Juma jishikilie vizuri wameanza tena"

Hizi gharama za matengenezo ya hii nyumba angekuwepo marehemu Dr. John P.Magufuli kweli zingekuwa hivi?

Watanzania tunapaswa kujishikilia vizuri wezi wameanza tena. Hii nyumba kweli ya mili 500+? Kweli ndugu zanguni?

Hii nyumba kuna hesabu za kekundu keuzi zimefanyika kipindi hiki ambacho hakuna wa Kukemea kuna watu wanaongeza hesabu juu kwa juu. Angekuwepo Magufuli wasingefikisha hiyo pesa. Kuna uwezekano baada ya mwezi amefariki watu wakakaa wakaandika upya gharama na kugawa cha juu.

Sikuwahi kuwa fan wa Magufuli na mnaweza angalia threads zangu za kale. Ila huwa napenda kusimamia ukweli na ninachokiamini. Mama Samia usiruhusu Ufisadi urudi tena.tunakuomba. hawa wanakujaribu. Wakiona unacheka nao wananchi tutakuja juta.
Hiyo nyumba ilipofikia inaonyesha ilianza kujengwa kipindi cha mwendazake. Msitake kumbebesha mama mizigo ya mwendazake
 
Kuna lile shamba la hifadhi JPM alizindua kule chato mngeijua gharama ya ujenzi wa zile ofisi mngeshika vichwa watanzania.

Naishia hapa.
Sukuma GANG, watakuambia wizi mzuri, anaiba lakini anajenga danganya toto Furahiova!

Back
Top Bottom