Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

Ili twende sawa toa reference ya huo ujenz ulianza lini?
 
Mmmh uwe na aibu hata kidogo bro! Kwa hiyo kipindi hiki ufisadi ukikithiri justification itakuwa ni kwamba Kuna transparency zaidi kuliko kipindi kilichopita?

Ukubali tu kuwa mzee alikuwa mfatiliaji Mambo mengi aliyaibua kabla hata hivyo vyombo vya habari havijapata hizo taarifa, na hicho ndo kipimo cha kiongozi anayefatilia mambo, ukiona ufisadi hadi unaripotiwa na media ujue Kuna shida mahali.
 
Umejifariki ee!? Endelea kubariki wezi.
Wasukuma buana, UMEJIFARIKI??
Umejifariki mwenyewe kama tusi!πŸ˜…πŸ˜‚
Hata kuandika kiswahili kazi, nahene loloo
Useme ukweli hilo jengo, ujenzi ulianza lini nkhoi?

Everyday is Saturday................................😎
 
Wasukuma buana, UMEJIFARIKI??
Umejifariki mwenyewe kama tusi!πŸ˜…πŸ˜‚
Hata kuandika kiswahili kazi, nahene loloo
Useme ukweli hilo jengo, ujenzi ulianza lini nkhoi?

Everyday is Saturday................................😎
Asante . Nimesahihisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…