Ufisadi wa Awamu ya 5: CAG Mstaafu Utouh alia na upigaji wa Trilioni 1.2, aitaka Serikali ieleze pesa zilikokwenda

Huna akili nyumbu mkubwa wewe
 
Anayewashauri kuichafua awamu ya tano wakati zaidi ya robo tatu ya watendaji wake na viongozi wakuu ndio hao hao waliopo katika hiinayoita awamu ya sita aliwapotosha sana.
 
Jamaa hawaibi tena wanachota
 
mkumbusheni huyo mzee kwamba assad alisema ni 2.4trn, au anawezaongeza akipenda.

ila sisi wnanchi tunaendelea na mambo mengine.
 
Katiba haiwezi kusaidia lolote hapa!
Hapa sheria zake zipo tayari ni suala la kuwajibishana tu.
KATIBA MPYA HAPA ITAFANYA NINI?
 
Katiba haiwezi kusaidia lolote hapa!
Hapa sheria zake zipo tayari ni suala la kuwajibishana tu.
KATIBA MPYA HAPA ITAFANYA NINI?
Mihimili mingine inauogopa mhimili mkuu ndio maana hata sheria zilizopo zinakuwa hazina meno ya kutosha!! Kuna sehemu zingine meno ya sheria yanakufa ganzi kwa kuuogopa muhimili mkuu !! Angalia Kenya mahakama imeshamkatalia Rais Uhuru mambo mengi tu ! Je hapa wanaweza ??!!
 
NADHANI KUNA WATU WANA VICHWA VYA AJABU SANA, WAKO BIZE NA KATIBA MPYA AS IF KAMA NI JICHO LA MUNGU LIONALO SIRINI, WATAMBUE YAPO MAMBO YA KUWAJIBISHANA YANATAKIWA YAFANYIKE "USIMAMIZI MAKINI" MAANA UNAWEZA UKAWA NA KATIBA MPYA WASIMAMIZI WASIIFUATE WALE ISITHAMINIWE IKIWA HAINA MAANA YOYOTE, TARATIBU NA SHERIA TULIZO NATO NI NZURI KWELI ISPOKUWA UPANDE WA USIMAMIZI NDIPO KWENYE TATIZO,KUFAMIANA, KUCHEKEANA, NI MWENZETU, NDIPO TATIZO LILIPO
 
Hakika, naunga hoja mkono.
Katiba mpya ni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…