DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
0744444969 Ni ya Bunge Laiser na 0744446969 ni CDM HQ
 
Mbowe kakihujumu sana chama huku akiwalaghai wasio na akili eti anakifadhili chama.
Unaweza kuta hata hiyo pesa iliyopatikana kwenye hiyo namba alikuja kukikopesha chama au kujifanya mfadhili
 
Dah, idea ya Join the chain ingewezesha kabisa chama kujitegemea, lakini Mbowe kaiua!.

It seems ili Mbowe aweze kuendelea kuiongoza chadema lazima chama kiwe hohehahe kumtegemea yeye!. Hataki chama kijitegemee!
 
Namba zinapofuatana hivyo maana yake zimesajiliwa na wakala mmoja
Ila nchi masikini hata aje nani na asema nimeshuka toka juu na ni muadilifu bado nae akionja atakuwa mwizi tu maana imo kwenye damu
Waafrika hatuwezi kukomesha wizi
Mpeni yeyote nae ana damu hii hii
 
Mbowe atolewe tu
 
yani kwa ufupi kile chama kilipaswa kiwe na sifa za kidemokrasia kweli kama jina lake lilivyo. lakini ukianza na suala la mtu fulani kugombea nafasi fulani kila nwakati kinyume na katiba yao wenyewe inaonesha hakuna usawa na uwazi ndani ya chama...sasa kama hakuna usawa na uwazi ktk issue za uongozi it means nyuma ya mambo hayo ipo PESA. hii ndo sababu watu fulani hawataki kuachia madaraka hata kama katiba inasema hivyo.

so leo sishangai kusikia kulikuwa na namba ya ziada kwajili ya kupigia hela. chama cha ukweli hapa tizi ni cha mabachela tuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…