technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Shamba la magu!!Halafu utamskia akisema Mniombeee
Hakika chini ya Fisiem Tanzania itaendelea kuwa shamba la bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajaribu kusukuma treni linaloenda mbele lirudi nyuma! Bahati mbaya wewe ndiyo utasagwa vibaya!bila shaka wewe ni mmoja ya wakurugenzi wa halmashauri uliyekumbwa na ufisadi katika halmashauri yako hivyo unaamua kuitupia zigo la kinyesi hazina. ni ukweli usiopingika, halmashauri ndiko kuna uchafu wa kutisha sana kwenye hii nchi usijifanye kutetea leo hii. subiri mtumbuliwe akili zikae sawa. Rais Magufuli tumbua hao kabisa
Mafisadi yamejaa chademaMpambanaji wa ufisadi anapokuwa fisadi papa ni aibu tupu
ila maamuzi ya wachache