Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kwa wanajumuia jiwe ni mpigaji tangu zamani ila anapenda aonekane mtakatifu. Kumbuka kivuko alichoficha jeshini nk
Mbona yako madudu yake kibao tu....!!Kuna uuzwaji wa NYUMBA ZA SERIKALI alizowagawia ndugu zake, hawara n.k.
Kuna mikataba Fake ya barabara zilizojengwa chini ya viwango, kuna hasara alizosababishwa kwa kukurupuka kuvunja mikataba na Wakandarasi na hivo kupelekea Seriklai ya Tanzania kuwalipa wakandarasi hao mabilioni ya fueza...!
Halafu inatokea mijitu iliyojaa nzi wa kijani kama chooni inashangilia kana kwamba Magufuli ni malaika kashuka toka kuzimu....CCM ni Aibu na majanga tupu!!!Watu wakimsema Magufuli kwa madudu yake wanaambiwa ati wanatukana Serikali...!!!What a non-sense?