Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
CAG asitugombanishe na Rais wetu mpendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ripoti inatengenezwa na watu,inapitiwa na kujadiliwa na watu kabla hata haijafika kwa rais. Hilo nalo la kuuliza kweli. Au unadhani ripoti inashuka toka mbinguniMunahangaika sana report mtu wa kwanza kuiona ni Rais sasa wewe umeisima kutoka wapi? Crap
Mh..! ...hata km mimi si mwanachama chochote lakini huu ufisadi unaolitafuna taifa kwa kiwango cha juu na ripoti zake kukaliwa na spika, zinahusianaje na chadema? Kama ni uchama, bila shaka yeyote itakuwa ccm na serikali yake ndo vinaitafuna "NCHI".... huoni hata wale walokimbilia cdm wameona hapawafai hadi wanaamua kurudi penye ulinzi wao.!!!!Mafisadi yamejaa chadema
Hata usipomuombea wewe wapo wanamuombea wewe baki na maombezi yako tu.Halafu utamskia akisema Mniombeee
Hakika chini ya Fisiem Tanzania itaendelea kuwa shamba la bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akulinde sanaCAG report ya mwaka huu ni pasua kichwa kuna ufisadi wa kutisha wa pesa za umma..
Upotevu wa 2.4 trion ongezeko karibu mara mbali ya pesa ambayo haikuonekana mwaka Jana....
Najua wakurugenzi wa halimashari watatolewa kafala lakini ukweli ni kwamba ...
Hazina ndio kuna ufisadi wa kutisha pesa zimechotwa za kutosha ..
Sector ya Madini CAG bado harusiwi kukagua..
Report ya ukaguzi Maalumu wa mwaka Jana 1.5 trion ni majonzi matupu Speaker kailalia hataki kuitoa...
Nitaweka report kamili hapa ila napenda kumshukuru CAG Kwa kuendelea kuwa mzalendo na kukataa report yake ipikwe.
Magufuli anazima vyombo vya habari ili afanye ufisadi wa kutosha..
Acha izo braza umekuwaje? mbona umepanic sana? angalia siku hizi presha ndio ugonjwa hatari sana.. 😁😁😁😁😁😁bila shaka wewe ni mmoja ya wakurugenzi wa halmashauri uliyekumbwa na ufisadi katika halmashauri yako hivyo unaamua kuitupia zigo la kinyesi hazina. ni ukweli usiopingika, halmashauri ndiko kuna uchafu wa kutisha sana kwenye hii nchi usijifanye kutetea leo hii. subiri mtumbuliwe akili zikae sawa. Rais Magufuli tumbua hao kabisa
bila shaka wewe ni mmoja ya wakurugenzi wa halmashauri uliyekumbwa na ufisadi katika halmashauri yako hivyo unaamua kuitupia zigo la kinyesi hazina. ni ukweli usiopingika, halmashauri ndiko kuna uchafu wa kutisha sana kwenye hii nchi usijifanye kutetea leo hii. subiri mtumbuliwe akili zikae sawa. Rais Magufuli tumbua hao kabisa
Yanaanza kujitoa yenyewe bila hata kusukumwa. Uviccm imeshasamehe kila kitu ni kuanza upya. Mapapa wamo na kila kitu.Mafisadi yamejaa chadema
Mpambanaji wa ufisadi anapokuwa fisadi papa ni aibu tupu
Munahangaika sana report mtu wa kwanza kuiona ni Rais sasa wewe umeisima kutoka wapi? Crap
CAG report ya mwaka huu ni pasua kichwa kuna ufisadi wa kutisha wa pesa za umma..
Upotevu wa 2.4 trion ongezeko karibu mara mbali ya pesa ambayo haikuonekana mwaka Jana....
Najua wakurugenzi wa halimashari watatolewa kafala lakini ukweli ni kwamba ...
Hazina ndio kuna ufisadi wa kutisha pesa zimechotwa za kutosha ..
Sector ya Madini CAG bado harusiwi kukagua..
Report ya ukaguzi Maalumu wa mwaka Jana 1.5 trion ni majonzi matupu Speaker kailalia hataki kuitoa...
Nitaweka report kamili hapa ila napenda kumshukuru CAG Kwa kuendelea kuwa mzalendo na kukataa report yake ipikwe.
Magufuli anazima vyombo vya habari ili afanye ufisadi wa kutosha..
Kama kawaida yenu uzushi na uongo. Sasa hiyo ripoti ikija kutoka ikawa tofauti na huku nyumbu washaamini..ndio kitu unataka.CAG report ya mwaka huu ni pasua kichwa kuna ufisadi wa kutisha wa pesa za umma..