Tetesi: Ufisadi wa kutisha ndani ya Serikali

Mafisadi yamejaa chadema
Mh..! ...hata km mimi si mwanachama chochote lakini huu ufisadi unaolitafuna taifa kwa kiwango cha juu na ripoti zake kukaliwa na spika, zinahusianaje na chadema? Kama ni uchama, bila shaka yeyote itakuwa ccm na serikali yake ndo vinaitafuna "NCHI".... huoni hata wale walokimbilia cdm wameona hapawafai hadi wanaamua kurudi penye ulinzi wao.!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada ya uchonganishi - akili zako unazijua mwenyewe - CCM itaendelea kukuletea huduma - JPM4C
 
Mungu akulinde sana
 
Acha izo braza umekuwaje? mbona umepanic sana? angalia siku hizi presha ndio ugonjwa hatari sana.. 😁😁😁😁😁😁
 

Atatumbua tawi alilokalia? Yeye sio msafi hata akitumbua ni kutaka kuua tu soo, lakini hata yeye ni shida.
 
Kwa awamu hi haishangazi.
ufisadi ni mkubwa tatizo tupo gizani ndyo mana hatusikii.
 
JANA MWENYEKITI WA UVCCM KAWEKA WAZI KUWA HUKO CCM HAKUNA ALIYE MSAFI NDIO MAANA HATA RIPOOTI YA UCHUNGUZI WA MALI ZA CHAMA HAIWEKWI WAZI KWANI WENGI IMEWAGUZA
 
Mpambanaji wa ufisadi anapokuwa fisadi papa ni aibu tupu

Fisadi Dau anateuliwa ubalozi, DC akibargain rushwa ya manunuzi ya kuunga juhudi wa ushahidi wa Nassari anapandishwa kuwa DC,CAG na taasisi ziibuazo ufisadi mfano vyama pinzanj zinageuzwa adui na kushughulikiwa haswaa,magazeti yaandikayo ukweli na kuibua upigaji yanapofungiwa,serikali inapojitoa uendeshaji wa wazi,mahakama ya mafisadi inapoota kutu,watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi pale DPP baada ya kupokea maagizo anaposema nolle yaani hakuna haja ya kuendelea na kesi hii,madini CAG stop,nyumba nyeupe CAG stop,kwa wabangua korosho CAG stop,chama chakavu CAG stop,inatakiwa ukapimwe akili tunapambana na ufisadi.Ufisadi sio ajenda tena.Sawa na nyani kuwafukuza ngedere shambani wasiibe mahindi ya kijiji.
 

Report ya CAG anakabidhiwa Mh Rais Kabla autarehe 30 March kama ilivyo kawaida,
Report yoyote itakayotoka sasa kabla ya Mh. Rais kukabidhiwa ni batili.
 
Kama kawaida yenu uzushi na uongo. Sasa hiyo ripoti ikija kutoka ikawa tofauti na huku nyumbu washaamini..ndio kitu unataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…