Tetesi: Ufisadi wa kutisha ndani ya Serikali

Tumeambiwa kuna safari ya China, nadhani tuvute subra huenda likaja fuba la maana na hivyo vi shoti shoti vyote vikapotea.
 
Kama report haina ukaguzi wa ATCL,TANROADS na TRC haina maana na TIB pia
 

Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anajua kinachoendelea ndani ya ECONOMY ya nji yetu.
Ni mtu zwazwa na bashite tu ndo anaweza kupongeza huu ubabaishaji unaofanya na Magufuli kwenye MADINI, KORO-SHOW, NDEGE, FLYOVERS, SGR na STIEGLERS....!!! Kwa sasa Rais Magufuli ndiye ANAYEPANGA BAJETI NA MATUMIZI YA SERIKALI AKISHIRIKIANA NA DOTO JAMES(mtoto wa dada)bila ya KULIHUSISHA BUNGE LA JMT.....wala WAZIRI WA FEDHA...!!! Hivi unafikiri uwanja wa NDEGE WA KIMATAIFA HUKO CHATO ulijengwa kwa kibali cha Bunge gani na nani alipanga na kuidhinisha hiyo Bajeti? Ni mtu na mjomba waiqtumbua nji wanavyotaka....ukihoji unatumbuliwa na kupoteza ajira....! Huku kuna mazwazwa wanaendelea kusifia kwa BUKU 7!
 
Hi
 

Kuna shimo vote 20 linameza fedha bila kutafuna!
 
Vikaragosi vya dikteta na dhalimu Ndugai na “Msiba” vitaongeza bidii ya kumshambulia CAG Assad ili dikteta amuondoe na kuweka kikaragosi chake kingine.

Good job CAG 👏👏👏👏👏👍🏽

 
Mkuu tupe ushahidi kwamba mpango huo upo,vinginevyo TCRA na Jeshi la Polisi wanapaswa kukushuhulikia.TCRA na Jeshi la Polisi jamani fanyeni kazi,huyu mtu atoe ushahidi kwamba Magufuli anazima vyombo vya habari ili afanye ufisadi.Rais na serikali wanapakwa matope kiasi hiki halafu kimya.Hapana.
 
Huu ni uzi wa tatu kuelezea wizi unaoendelea kwenye serikali ya Magu. Mmojawapo uliwekwa hapa na Britanica. Chini ya utawala wa CCM hatutofika kokote. Ni wizi tu kwa ajili ya watoto na wajukuu wao
 

Namshauri Doto James ajifanye kuumwa aachie ngazi maana kifungo kinamsubiri
 
Kwa wanajumuia jiwe ni mpigaji tangu zamani ila anapenda aonekane mtakatifu. Kumbuka kivuko alichoficha jeshini nk
 
Yaan maneno yoooooteeeeeee hayo ishu ni kwamba unamtetea JPM...
Yaani umeshindwa tu jinsi ya kuiunganisha CDM kwenye hili
 
Ko almashauri wakijenga Zahanati sifa zimwendee mtukufu, basi kubalini hata zisipofanya vzr lawama ziwe ziwe zinamwendea mtukufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kid hvi unatetea uozo kwa faida ya nan?? Kumbuka dhahama yoyote ikitokea hakuna atakaebaki salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ingekuwa inaongozwa na watu wenye traces za ubinadamu, wangewalipa interest wastaafu ambao wamekaa zaidi ya mwaka wanasotea mafao Yao
 
Tunajitahidi kuwa wazarendo kwa kulipa kodi menyewe yako busy kuzisomba pesa zetu ipo siku zitawatokea kwenye vinyeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…