Ufufuaji wa Misukule: Ina tofauti gani na Maigizo?


Kuhusu Ibrahim As, Musa As na Yesu As: kazi yao walimaliza.

'Na hakika tulikwisha watuma 'Mitume' kwa kaumu zao (watu wao !) na wakawajia kwa hoja zilizo wazi. Tukawaadhibu wale waliofanya ukosefu (waliokataa na wakaendekeza maovu). Na ilikuwa haki juu yetu kuwanausuru Waumini (wale waliokubali na kufuata dini ya haki)
Qur'an: 30:47.

Kukabiliana na wachawi (Musa As) kufufua wafu na kutibu wagonjwa, hizi ni karama walipewa manabii ili kwadhihirishia watu wao (kaumu) kuwa wao ni Mitume !
kwa sasa elimu ya utabibu ni ya hali ya juu, hata magonjwa yasiyotibika, basi ufafanuzi unaweza kuupata ni kwa nini. Nchi za wajinga pekee ndizo zinazo hangaika na wachawi, na yeyote anayehangaika na wachawi yuko katika karne ya Musa.

Hizi ndizo hoja alizokuja nazo Muhammad SAW, ambazo ziko hai hata sasa !

'Na Yeye (Mwenyezi Mungu) ndiye aliyeumba usiku na mchana, na jua na mwezi vyote katika anga vinaogelea.
Qur'an:21:33.

'Tukaweka katika ardhi milima iliyothibiti ili isiwayumbishe.............
Na tukaifanya mbingu kuwa dari iliyohifadhiwa.........
Qur'an:21:31-32.

'Naye (Mwenyezi Mungu) ndiye aliye fanya usiku na mchana kufuatana kwa nafuu ya anayetaka kukumbuka, au kwa anaye taka kushukuru.
Na waja wa Arrahmann Mwingi wa Rehema (watu wa Mwenyezi Mungu) ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha (unyenyekevu) na wajinga wakiwasemeza (wao) hujibu: Salama !
 
 
Maswali ni Mengi kuliko majibu. La msingi tuwe makini tusikimbilie maajabu kwa kisingizio cha Imani. Tuzijaribu roho, na tufanye kazi kwa bidii ili wajanja wasitumie umaskini wetu kujitajirisha au kutimiza malengo yao.
 

Umekielewa nilichokuuliza?

Hao uliowaorodhesha hapo niliuliza maswali tofauti kuwahusu iweje unajibu jibu moja kuwahusu?

Kuhusiana na Mohammad hujajibu nilichokuuliza
Hicho unachodai alikuja nacho na kipo hai kilikuwepo miaka zaidi ya 3000 kabla hajazaliwa iweje useme yeye ndio alileta?

Jibu maswali kama ulivyulizwa acha blabla!
 

Sio kila inachoitwa au kujiita nuru ni Mungu

Sio kila kinachoitwa mungu ni Mungu muumba wa vyote

Mungu muumba wa vyote ana jina lake
Huyo unaemsema hapo ni yupi?
Jina lake nani?
 

Kila kitu kinajieleza kwenye hoja ya kwanza, ya kuwa kila Nabii anapewa karama (uwezo) kulingana na watu aliotumwa kwao na Mwenyezi Mungu.
Ibrahim AS, alikuja karne ya wajinga ! waliochonga masanamu na kuyaabudu na miongoni mwao akiwa Baba yake mzazi.
Ibrahim AS, kwa hekima ayavunja Masanamu yote na akalibakisha kubwa kabisa. Na walipokuja wenye Masanamu, wakauliza kulikoni ?.......Ibrahim akawaambia waulize hilo sanamu kubwa !......je, sanamu ikiulizwa inajibu ?
Sasa wako watu wapo katika ujinga wa karne ya Ibrahim, wanavaa misalaba, wanaweka picha walizonunua stationery shop wakidai huyu ni 'Bwana'

Kuna watu wamo katika ujinga wa karne ya Musa AS, kwamba wanadanganywa kutolewa misukule na wanakaa wanaamini na kutetea.
Musa AS, alipamabana na wachawi wa Firauni walipotupa vikamba vikawa vinyoka vidogo vidogo. Musa akatupa fimbo yake ikameza vinyoka vyote. Hapo hapo wachawi wakamshuhudia Mungu wa Musa na wakajisalimisha kwake !

Kuna wanao danganywa kwa miujiza ya uponyaji hao wako katika karne ya Nabii Issah (Yesu). Yeye alikuwa wakati watu wengi wa wakati wake, wamejaliwa taaluma za Utabibu. Yesu alipewa karama zaidi ya waliokuwepo ikiwemo kufufua 'bi idhini llahi' !
Sasa wako matapeli kama akina Gwajima wanao dai wanauwezo wa kufufua !

Karne ya Muhammad SAW ni hoja ! soma Qur'an ujue hoja zilizomo humo !
maswali yako mengine ni kuendekeza ubishi tu, ila wenye akili zao wataelewa !

Kwa nini misukule haijitokezi Washington DC !?
 
Sio kila inachoitwa au kujiita nuru ni Mungu

Sio kila kinachoitwa mungu ni Mungu muumba wa vyote

Mungu muumba wa vyote ana jina lake
Huyo unaemsema hapo ni yupi?
Jina lake nani?

.......Mungu hana jina zaidi ya Mungu !
Mwenye kujua kila kitu !
 

Kama umeshindwa kujibu nilichokuuliza si useme tu?
Maswali yangu hayo hapo chini
Halafu niambie umjibu lipi hapo

 
Kama umeshindwa kujibu nilichokuuliza si useme tu?
Maswali yangu hayo hapo chini
Halafu niambie umjibu lipi hapo

Huna maswali bali ni ubishi wa kipuuzi !
Ibrahim alivunja Masanamu kwa kuwa watu wa karne yake walikuwa wajinga !
Wewe na shule yako unaenda kununua picha ya 'mwana wa mungu' dukani !

Unadanganywa mambo ya misukule na ufufuo !?
Damn fool !
 
Asante kwa kulitambua hilo mkuu. Hawa jamaa washaona ndio ka mchezo ka kuvunia waumini na sadaka.
 
Huna maswali bali ni ubishi wa kipuuzi !
Kama ni maswali ya kipuuzi mbona ulidai umenijibu?
Au ulikuwa unadanganya?
Ibrahim alivunja Masanamu kwa kuwa watu wa karne yake walikuwa wajinga !
Mohammad mbona nae alikutana na aina ileile ya watu?
Mbona nae alivunja masanam ya wa-quraish kwenye nyumba waliyokuwa wanaabudia? [al-kaaba]
Alishindwa kujenga yake?
Inamaana huyo Ibrahimu wenu alishindwa kuimaliza hiyo imani?
Au halikuwa jukumu lake?
Wewe na shule yako unaenda kununua picha ya 'mwana wa mungu' dukani!
Tatizo lako unaassume bila kufikiri
Nani anafanya hiyo kitu?
Au unadhani kila Mkristo anafikiria kwanamna moja?
Unadanganywa mambo ya misukule na ufufuo !?
Damn fool !
Umejuaje kama ni uongo?
Au unaleta story za kwenye kahawa na kashata?
Au na wewe ni mmoja wa wale wanaodanganya?
 
God ni nini kama Mungu ni jina !?

Kati yangu mimi na wewe ni nani aliyesema Mungu ni jina?
Mimi sijasema kuwa ,Mungu ni jina ila wewe ndie uliyesema
Unajichanganya mwenyewe tu

Jibu swali
Umesema Mungu ni jina,je Allah ni nini kama Mungu ni jina?
God ni Mungu kwa Kiingereza
God kwa Kiarabu ni Ilah
Allah ni nini?
 

Hata sasa wakiristu wanaabudu masanamu, lile linalo ning'inia msalabani !
Wakiristo woote akili yao ni,moja tuu !
 

Uliza swali !..............ubishi wa kitoto siendekezi !
 
Hata sasa wakiristu wanaabudu masanamu, lile linalo ning'inia msalabani !
Wakiristo woote akili yao ni,moja tuu !

Unajisikiaje kuamua kujiridhisha kwa kujidanganya?
Kwanini usiamue kuutafuta ukweli badala ya kujidanganya na kukubaliana na kujidanganya huko?
 
Waheshimiwa Eiyer Na Ally Kombo sitaki kuingilia marumbano yenu lakini Kama vile mko nje ya Maada husika wenzetu, ingekuwa busara labda mkaanzisha sred nyingine Na mkanyukana huko Kwa maneno mradi tu asilie Mtu.

Mkuu,
Najua ninachokifanya sio sahihi kabisa
Lakini huenda huwajui hawa watu

Hii ni tabia yao kwa kuleta mambo ya udini kila mahali[nazungumza kwa uzoefu]
Na wamekuwa wakileta malumbano kwa kutoa maneno yasiyofaa

Tumekuwa tukiwaacha na kuleta matatizo kwa waaminioN
adhani unajua hata hapa nchini ni wao haohao walioanzisha malumbano ya kidini kupitia mihadhara yao
Wakristo wakaamua kuwajibu
Hiyo ilitokana na Wakristo kusema inatosha sasa

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali hapa JF hili lisingeweza kuwa la ajabu kwako
Hawa watu hawajali kuhusiana na utaratibu na maudhui ya mada
Tumekuwa tukiwaacha na kusababisha watu wengine wadhani kuwa wanasema kweli kwa sisi kukaa kimya
We can't let that happen again

Kinachotakiwa kufanyika ni MODS kuziondoa post zote zilizo nje ya mada
Lakini hawafanyi hivyo
Jambo linalotulazimisha na sisi kuchukua hatua stahiki

Natumai kama MODS watakua wanachua hatua stahiki watakuwa wanaacha kwakuwa kile wanachokuwa wanaandika hakitrakuwa kinasomwa na yoyote

Uwe na amani ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…