Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Unajisikiaje kuamua kujiridhisha kwa kujidanganya?
Kwanini usiamue kuutafuta ukweli badala ya kujidanganya na kukubaliana na kujidanganya huko?
.........Unajidanganya wewe kwa kununua sanamu ya "mtu" ana ning'inia msalabani !
Unaombaje msaada kwa kiumbe kiko hoi msalabani kimesulubiwa !?
Tourat imetuambiwa amelaaniwa awambwaye msalabani !