Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mengi yakufanya zaidi ya kuigiza na misukule..
Kuna mafundisho mengi sana ambayo watanzania wanayahitaji katika kujikwamua na umaskini..
Wewe hupaswi kumuamini mchungaji bali amini uweza wa jina la YESU.
Kutokuamini kwenu kuna shangaza mbona mnaamini ulinzi wa majini lakini mkisikia muujiza wa MUNGU doubt kibao na vijisababu visivyoisha.
Kwa kweli umenena vema...siwezi elewa.
Ugumu wa maisha umetufanya Wakristo tuonekane kama mapunguani/hamnazo.
nipe adressSijui nikuambie nini!!
Binadamu kila kukicha tunazidi kupata mbinu za kuyakabili maisha..
Inafikia hatua ya kujigeuza miungu watu sasa..
Kwa kujipa uwezo wa kuwafufua binadamu waliokufa siku za nyuma,
Ndugu zangu haswa Wakristo na Wafuasi wa Gwajima (Ufufuo na Uzima) kuweni makini sana na maigizo mnayofanyiwa!
Hakuna binadamu yoyote mwenye uwezo wa kumrudishia uhai mtu aliyekufa..
hili alifanya YESU peke yake tena mara chache sana!!
Tutakoseshwa mbingu kwa kudanganyika na kumezeshwa imani zisizoendana na Mapenzi ya mungu..
Umemaliza Mkuu, Kwakweli wakristo badilikeni.Ugumu wa maisha umetufanya Wakristo tuonekane kama mapunguani/hamnazo.
Kwahiyo Gwajima ni mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu waliopakwa mafuta?Ila kumbuka Yesu Kristu aliwaambia wanafunzi wake (including waliopakwa mafuta ) kuwa watafanya zaidi ya aliyofanya yeye.
nipe adress
Mimi huwa nachokaga na haya mambo. Sijawahi kufika katika hizo ibada ila nachojiuliza hao wanaoitwa misukule inafikaje hapo kwa Gwajima..yaani kama huyo alietoka Mortuary alikuja mwenyewe au? Duuh...
Kazi kidogo tu ilu;
Nenda kwenye mkutano wake au kanisani kwake, akisema tu kwamba kuna msukule hapa, wahi mbele. Mkamate huyo msukule, ng'angania kuwa ulimjua na utampeleka kwao.
Mpelekee waandishi wa habari, wamchimbe miswali mpaka ateme uongo wake. Utakuwa umetuponya wengi na utamwaibisha huyo Gwajima Ni kaushauri tu kwako ilu.