Ndugu inategemena na unamajike wangapi na unataka kupandishaje hapo ni wewe tu mfugaji na malengo yako. Ni rahisi sana kikubwa ni wewe unahitaji kufanyeje na kwa wakati gani maana hata hali ya hewa pia nayo ni yakuangalia sana wakati wa uzalishaji.Dume mmoja kwa wakati mmoja? S atakua anakojoa upepo
Umeandika majike 20 au 30 kwa pamoja.. labda utumie uhamilishaj ila kwa njia ya kupanda kwa dume moja ni kitu haiwezekanNdugu inategemena na unamajike wangapi na unataka kupandishaje hapo ni wewe tu mfugaji na malengo yako. Ni rahisi sana kikubwa ni wewe unahitaji kufanyeje na kwa wakati gani maana hata hali ya hewa pia nayo ni yakuangalia sana wakati wa uzalishaji.
Nawasalimuni kwa jina la Mungu. naomba niwapongezeni sana nyote ktk kujenga mawazo ya kutaka kuingia ktk miradi kama hii ya ufugaji. Mimi ni mfugaji wa Mbuzi na nina fuga Mbuzi kwa muda mrefu, niwaombeni kitu ufugaji ni mzuri na una faida na changamoto zake, kikubwa ni kukubali kujifunza na kujijengea umakini ktk ukaguzi na usimamizi wa mifugo yako. Kwa aliyepo Dar namkaribisha kwangu aje tujifunze pamoja na tugawene ujuzi kwa pamoja. Kwa anae anaza kufuga nakuomba sana usinunuwe mbegu kwanza kabla hujapita kwetu wafugaji tulio kutangulia ujifunze vitu halafu ndio uingize Mbegu shambani kwako. Karibuni kwa maswali mbali mba;li nipo hapa tutasaidiana kwa kadiri Mungu atakavyo tujaalia.
Nahitaji nije kujifunza ufugaji wa Mbuzi. Nina heka nne Morogoro nahitaji kufuga. Unapatikana wapi?Ndugu inategemena na unamajike wangapi na unataka kupandishaje hapo ni wewe tu mfugaji na malengo yako. Ni rahisi sana kikubwa ni wewe unahitaji kufanyeje na kwa wakati gani maana hata hali ya hewa pia nayo ni yakuangalia sana wakati wa uzalishaji.
Naomba no yako ndugu nije kujifunzaNawasalimuni kwa jina la Mungu. naomba niwapongezeni sana nyote ktk kujenga mawazo ya kutaka kuingia ktk miradi kama hii ya ufugaji. Mimi ni mfugaji wa Mbuzi na nina fuga Mbuzi kwa muda mrefu, niwaombeni kitu ufugaji ni mzuri na una faida na changamoto zake, kikubwa ni kukubali kujifunza na kujijengea umakini ktk ukaguzi na usimamizi wa mifugo yako. Kwa aliyepo Dar namkaribisha kwangu aje tujifunze pamoja na tugawene ujuzi kwa pamoja. Kwa anae anaza kufuga nakuomba sana usinunuwe mbegu kwanza kabla hujapita kwetu wafugaji tulio kutangulia ujifunze vitu halafu ndio uingize Mbegu shambani kwako. Karibuni kwa maswali mbali mba;li nipo hapa tutasaidiana kwa kadiri Mungu atakavyo tujaalia.
Karibu sana 0713 544411/ 0754696672.Naomba no yako ndugu nije kujifunza
Mkuu huu sasa uwekezaji wa mabiloni, eka 16 zenye fensi nzito? Huu sio mradi wa wanaojitafuta sasa.Hapa linatakiwa eneo kubwa , alaf unaligawa hata vipande vinane vya ukubwa wa hekari mbili kila kimoja , unazungusha fensi nzito , supply ya maji iwe constant , ataishi kifalme Sana , na mbuzi atawakimbia , Ila hii ya kuwapeleka machungani na kurudi chenga tupu , mbuzi Wana visirani Sana kila mara mchungaji atakuwa anarudi amevunja mgongo mmoja
View attachment 2470846