Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

Ndio maana nawa sisitiza kutembelea wafugaji wenzenu itatusaidia kujifunza zaidi ktk kukuza kipato na kufuga vyema. Hata Taliri pia wana toa Mbegu nzuri za Mbuzi, gogo white, blended na wengineo hao wana zalishwa na vituo vya serekali TALIRI.

Boer kwa bongo mbegu yake inapatikana kweli?
 
Ndio maana nawa sisitiza kutembelea wafugaji wenzenu itatusaidia kujifunza zaidi ktk kukuza kipato na kufuga vyema. Hata Taliri pia wana toa Mbegu nzuri za Mbuzi, gogo white, blended na wengineo hao wana zalishwa na vituo vya serekali TALIRI.

..uzoefu wako na mbuzi blended / malya anayezalishwa Taliri ukoje?
 
Kitu cha kienyeji hakifai kwa biashara, tafuta cross breed
Bongo makanjanja wengi mkuu ila ukienda Kenya, Uganda na SA utaona watu wanavyofuga kwa umakini

Kuna mbegu inaitwa Boer hawa mbuzi wanafika mpaka 100kg ila ukiuliza waswahili wanakuambia yes wapo mzee

Jichanganye sasa haha
Natamani kuwaleta toka UG kwa jamaa mmoja alitokea [emoji631] na anafuga pure breed
bg2.jpg
 
Bongo makanjanja wengi mkuu ila ukienda Kenya, Uganda na SA utaona watu wanavyofuga kwa umakini

Kuna mbegu inaitwa Boer hawa mbuzi wanafika mpaka 100kg ila ukiuliza waswahili wanakuambia yes wapo mzee

Jichanganye sasa haha
Natamani kuwaleta toka UG kwa jamaa mmoja alitokea [emoji631] na anafuga pure breed View attachment 2472133

..Pure Boer bei yao ni kubwa sana kuweza kuwasafirisha toka Afrika Kusini.

..Kwa hapa Tanzania sio rahisi mfugaji kukuuzia mbuzi Boer Pure kwasababu wengi wako ktk stage ya kuwa-cross na kuwazalisha ktk miradi yao.

..Kuna wafugaji wakubwa kama Mbogo Ranches nilisikia kwamba wanaweza kuwasaidia wafugaji wadogo kuagiza mbuzi hao.

..Naamini njia nzuri ni watu kuwa ktk kikundi na kuagiza beberu ambaye atatumika ku-cross na mbuzi wa kienyeji.

..Jambo lingine la TAHADHARI ni kwamba beberu la Boer likiwa kubwa sana linaweza kumuumiza mbuzi wa kienyeji wakati wa kupanda.

..Pia mbuzi wa kienyeji anaweza kupata matatizo wakati wa kujifungua baada ya kupandwa na Boer.

..Kwa hiyo ni vizuri kuchagua beberu ambaye ni mdogo-mdogo ili aweze kuwapanda mbuzi wa kienyeji bila kusababisha ajali.

..pia ni vizuri kuwa makini ktk kuchagua majike wakubwa imara watakaoweza kuhimili mshindo wa beberu la Boer.
 
Hapa linatakiwa eneo kubwa , alaf unaligawa hata vipande vinane vya ukubwa wa hekari mbili kila kimoja , unazungusha fensi nzito , supply ya maji iwe constant , ataishi kifalme Sana , na mbuzi atawakimbia , Ila hii ya kuwapeleka machungani na kurudi chenga tupu , mbuzi Wana visirani Sana kila mara mchungaji atakuwa anarudi amevunja mgongo mmoja

View attachment 2470846
Huo sio ujisilia mali
 
..Pure Boer bei yao ni kubwa sana kuweza kuwasafirisha toka Afrika Kusini.

..Kwa hapa Tanzania sio rahisi mfugaji kukuuzia mbuzi huyo kwasababu wengi wako ktk stage ya kuwa-cross na kuwazalisha ktk miradi yao.

..Kuna wafugaji wakubwa kama Mbogo Ranches nilisikia kwamba wanaweza kuwasaidia wafugaji wadogo kuagiza mbuzi hao.

..Naamini njia nzuri ni watu kuwa ktk kikundi na kuagiza beberu ambaye atatumika ku-cross na mbuzi wa kienyeji.

..Jambo lingine la TAHADHARI ni kwamba beberu la Boer likiwa kubwa sana linaweza kumuumiza mbuzi wa kienyeji wakati wa kupanda.

..Pia mbuzi wa kienyeji anaweza kupata matatizo wakati wa kujifungua baada ya kupandwa na Boer.

..Kwa hiyo ni vizuri kuchagua beberu ambaye ni mdogo-mdogo ili aweze kuwapanda mbuzi wa kienyeji bila kusababisha ajali.

..pia ni vizuri kuwa makini ktk kuchagua majike wakubwa imara watakaoweza kuhimili mshindo wa beberu la Boer.
Mkuu nashukuru sana kwa mchanganuo huo
Najua hawaji rahisi ila kama nikipata hata wawili jike na dume mbona inawezekana na kupata baadae watoto wao

SA ni mbali ila kwa Uganda naona ni rahisi kidogo maana kuna malori yetu yapo huko
Ila ni plan yangu hiyo pia ntapata ushauri zaidi kwa wataalamu na wafugaji wakubwa kama hao
Kwenye sherehe za wakulima huwa wanaleta mbegu tofauti tofauti kama unawajua nijulishe mkuu

Naona una uzoefu na pia mfuatiliaji mzuri na kama unafuga pia naomba utupe experience zako na changamoto zao

Najua Boer kupanda mbuzi wetu ni changamoto sana ila kama nitapata hata x breed sawa
 
..nafuga kienyeji, lakini ni mfuatiliaji mzuri wa habari za ufugaji kwa ujumla.

..Je, mfugaji wa uganda atakuwa tayari au mkweli kukuuzia mbuzi Boer Pure?

..kama utaagiza toka Uganda basi hakikisha unanunua toka kwa mfugaji muaminifu na unajua mbuzi uliyeuziwa ana percent ngapi ya Boer, na uwe na rekodi za uzao wake.

..pia nadhani ni muhimu kwa Watanzania kuwa na ushirika wa wafugaji wa mbuzi wa kigeni kama boer, kalahari, etc ili kusaidiana kubadilishana mabeberu, kudhibiti viwango, na kuweka rekodi sahihi za breed hizo hapa nchini.

NB:

..nimesoma wafugaji wengi wanatumia majike wa gala ku-cross na beberu wa boer.
 
..Pure Boer bei yao ni kubwa sana kuweza kuwasafirisha toka Afrika Kusini.

..Kwa hapa Tanzania sio rahisi mfugaji kukuuzia mbuzi Boer Pure kwasababu wengi wako ktk stage ya kuwa-cross na kuwazalisha ktk miradi yao.

..Kuna wafugaji wakubwa kama Mbogo Ranches nilisikia kwamba wanaweza kuwasaidia wafugaji wadogo kuagiza mbuzi hao.

..Naamini njia nzuri ni watu kuwa ktk kikundi na kuagiza beberu ambaye atatumika ku-cross na mbuzi wa kienyeji.

..Jambo lingine la TAHADHARI ni kwamba beberu la Boer likiwa kubwa sana linaweza kumuumiza mbuzi wa kienyeji wakati wa kupanda.

..Pia mbuzi wa kienyeji anaweza kupata matatizo wakati wa kujifungua baada ya kupandwa na Boer.

..Kwa hiyo ni vizuri kuchagua beberu ambaye ni mdogo-mdogo ili aweze kuwapanda mbuzi wa kienyeji bila kusababisha ajali.

..pia ni vizuri kuwa makini ktk kuchagua majike wakubwa imara watakaoweza kuhimili mshindo wa beberu la Boer.
Duh,
Kwamba hao Boer Wana mikuyenge mikubwa Sana kiasi inazidi size ya mbususu za mbuzi wa asili?[emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
..nafuga kienyeji, lakini ni mfuatiliaji mzuri wa habari za ufugaji kwa ujumla.

..Je, mfugaji wa uganda atakuwa tayari au mkweli kukuuzia mbuzi Boer Pure?

..kama utaagiza toka Uganda basi hakikisha unanunua toka kwa mfugaji muaminifu na unajua mbuzi uliyeuziwa ana percent ngapi ya Boer, na uwe na rekodi za uzao wake.

..pia nadhani ni muhimu kwa Watanzania kuwa na ushirika wa wafugaji wa mbuzi wa kigeni kama boer, kalahari, etc ili kusaidiana kubadilishana mabeberu, kudhibiti viwango, na kuweka rekodi sahihi za breed hizo hapa nchini.

NB:

..nimesoma wafugaji wengi wanatumia majike wa gala ku-cross na beberu wa boer.
Mkuu nashukuru sana sana kwa haya
Yupo jamaa mmoja alikuwa [emoji631] amehamia nje kidogo ya Kampala anafuga sana na amejiendeleza vizuri sana
Wenzetu wanaruhusu dual citizenship ndio raha yao
Huyo jamaa nimemfuatilia sana na anaonekana ni muungwana sana maana anasema kama unataka pure Boer anao na bei anakupa

Anasema ukitaka njoo mwenyewe maana anao hata kwenye Instagram na YouTube ana account
Unaweza kumuangalia kwenye Instagram
Tutazidi kujuzana
Niko nje ya nchi kwa sasa ila ni mategemeo yangu kuja na kuanza hii biashara na hata kutafuta mbia kama waganga wa mifugo wa kuwaangalia
Insta ni valuefarmug
Screenshot_20230107_175950_Instagram.jpg
Screenshot_20230107_175915_Instagram.jpg
 
..boer wana miili mikubwa ndio maana wanaweza kuumiza mbuzi jike wa kienyeji ambaye hajakomaa.

Duu hili mdau kachangia, ila najua ni vigumu kumuachia Boer apande local goats
Ndio maana nawaza kuwa na aina moja tu hao wakubwa
Asante kwa kuleta hii
 
..uzoefu wa Mfugaji wa Ghanan kuhusu uagizaji wa mbuzi Boer kutoka Afrika Kusini.

Ila mpaka kuwafikisha hapo amepitia mengi
Imagine Africa yote sawa kwa police yaani rushwa mwanzo mwisho
Polisi na mbuzi wapi na wapi wana tamaa sana hawa
Vitambulisho vyote ila bado tu
Sasa sijui nani atawaleta kwetu maana wanaweza wakafia airport
 
..nimezingatia kuhusu hiyo process ya vibali vya import na export ya mifugo.

..kwa Tanzania sijakutana na mfugaji aliyekuwa tayari kufunguka na kutoa elimu kama huyo jamaa wa Ghana.

..ukifanikisha hili suala utakuwa msaada mkubwa kama utaweza kuelekeza wenzako hatua ulizopitia.
 
Duu hili mdau kachangia, ila najua ni vigumu kumuachia Boer apande local goats
Ndio maana nawaza kuwa na aina moja tu hao wakubwa
Asante kwa kuleta hii

..kuna wanaoshauri beberu wa Boer umpandishe kwa majike wa Gala.

..kila mzao utakuwa unaupandisha na beberu wa boer mpaka kupata pure breed.

..unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha baba hawapandi wanawe.

NB:

..nitatafuta taarifa kama inaruhusiwa babu kuwapanda wajukuu.
 
Back
Top Bottom