MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Sawa nao ni ushauri mzuri naamini tutaufanyia kazi kwa kadiri tujaliwavyo, kwa sasa mimi natumia madume wa Isioli/Galla.Tumia watu wa vets kupandisha wala usinunue dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nao ni ushauri mzuri naamini tutaufanyia kazi kwa kadiri tujaliwavyo, kwa sasa mimi natumia madume wa Isioli/Galla.Tumia watu wa vets kupandisha wala usinunue dume
Ndio maana nawa sisitiza kutembelea wafugaji wenzenu itatusaidia kujifunza zaidi ktk kukuza kipato na kufuga vyema. Hata Taliri pia wana toa Mbegu nzuri za Mbuzi, gogo white, blended na wengineo hao wana zalishwa na vituo vya serekali TALIRI.Kitu cha kienyeji hakifai kwa biashara, tafuta cross breed
Ndio maana nawa sisitiza kutembelea wafugaji wenzenu itatusaidia kujifunza zaidi ktk kukuza kipato na kufuga vyema. Hata Taliri pia wana toa Mbegu nzuri za Mbuzi, gogo white, blended na wengineo hao wana zalishwa na vituo vya serekali TALIRI.
Ndio bila shaka kabisa lakini ni gharama kidogo kwakuwa ni wakuagizwa tokea south Afrika.Boer kwa bongo mbegu yake inapatikana kweli?
Ndio maana nawa sisitiza kutembelea wafugaji wenzenu itatusaidia kujifunza zaidi ktk kukuza kipato na kufuga vyema. Hata Taliri pia wana toa Mbegu nzuri za Mbuzi, gogo white, blended na wengineo hao wana zalishwa na vituo vya serekali TALIRI.
Je nyanda za kusini naweza kufuga mbegu hii maana kuna joto mnoNdio ndugu ninao karibu sana
Bongo makanjanja wengi mkuu ila ukienda Kenya, Uganda na SA utaona watu wanavyofuga kwa umakiniKitu cha kienyeji hakifai kwa biashara, tafuta cross breed
Bongo makanjanja wengi mkuu ila ukienda Kenya, Uganda na SA utaona watu wanavyofuga kwa umakini
Kuna mbegu inaitwa Boer hawa mbuzi wanafika mpaka 100kg ila ukiuliza waswahili wanakuambia yes wapo mzee
Jichanganye sasa haha
Natamani kuwaleta toka UG kwa jamaa mmoja alitokea [emoji631] na anafuga pure breed View attachment 2472133
Huo sio ujisilia maliHapa linatakiwa eneo kubwa , alaf unaligawa hata vipande vinane vya ukubwa wa hekari mbili kila kimoja , unazungusha fensi nzito , supply ya maji iwe constant , ataishi kifalme Sana , na mbuzi atawakimbia , Ila hii ya kuwapeleka machungani na kurudi chenga tupu , mbuzi Wana visirani Sana kila mara mchungaji atakuwa anarudi amevunja mgongo mmoja
View attachment 2470846
Mkuu nashukuru sana kwa mchanganuo huo..Pure Boer bei yao ni kubwa sana kuweza kuwasafirisha toka Afrika Kusini.
..Kwa hapa Tanzania sio rahisi mfugaji kukuuzia mbuzi huyo kwasababu wengi wako ktk stage ya kuwa-cross na kuwazalisha ktk miradi yao.
..Kuna wafugaji wakubwa kama Mbogo Ranches nilisikia kwamba wanaweza kuwasaidia wafugaji wadogo kuagiza mbuzi hao.
..Naamini njia nzuri ni watu kuwa ktk kikundi na kuagiza beberu ambaye atatumika ku-cross na mbuzi wa kienyeji.
..Jambo lingine la TAHADHARI ni kwamba beberu la Boer likiwa kubwa sana linaweza kumuumiza mbuzi wa kienyeji wakati wa kupanda.
..Pia mbuzi wa kienyeji anaweza kupata matatizo wakati wa kujifungua baada ya kupandwa na Boer.
..Kwa hiyo ni vizuri kuchagua beberu ambaye ni mdogo-mdogo ili aweze kuwapanda mbuzi wa kienyeji bila kusababisha ajali.
..pia ni vizuri kuwa makini ktk kuchagua majike wakubwa imara watakaoweza kuhimili mshindo wa beberu la Boer.
Mkuu nashukuru sana kwa mchanganuo huo
Najua hawaji rahisi ila kama nikipata hata wawili jike na dume mbona inawezekana na kupata baadae watoto wao
SA ni mbali ila kwa Uganda naona ni rahisi kidogo maana kuna malori yetu yapo huko
Ila ni plan yangu hiyo pia ntapata ushauri zaidi kwa wataalamu na wafugaji wakubwa kama hao
Kwenye sherehe za wakulima huwa wanaleta mbegu tofauti tofauti kama unawajua nijulishe mkuu
Naona una uzoefu na pia mfuatiliaji mzuri na kama unafuga pia naomba utupe experience zako na changamoto zao
Najua Boer kupanda mbuzi wetu ni changamoto sana ila kama nitapata hata x breed sawa
Duh,..Pure Boer bei yao ni kubwa sana kuweza kuwasafirisha toka Afrika Kusini.
..Kwa hapa Tanzania sio rahisi mfugaji kukuuzia mbuzi Boer Pure kwasababu wengi wako ktk stage ya kuwa-cross na kuwazalisha ktk miradi yao.
..Kuna wafugaji wakubwa kama Mbogo Ranches nilisikia kwamba wanaweza kuwasaidia wafugaji wadogo kuagiza mbuzi hao.
..Naamini njia nzuri ni watu kuwa ktk kikundi na kuagiza beberu ambaye atatumika ku-cross na mbuzi wa kienyeji.
..Jambo lingine la TAHADHARI ni kwamba beberu la Boer likiwa kubwa sana linaweza kumuumiza mbuzi wa kienyeji wakati wa kupanda.
..Pia mbuzi wa kienyeji anaweza kupata matatizo wakati wa kujifungua baada ya kupandwa na Boer.
..Kwa hiyo ni vizuri kuchagua beberu ambaye ni mdogo-mdogo ili aweze kuwapanda mbuzi wa kienyeji bila kusababisha ajali.
..pia ni vizuri kuwa makini ktk kuchagua majike wakubwa imara watakaoweza kuhimili mshindo wa beberu la Boer.
Mkuu nashukuru sana sana kwa haya..nafuga kienyeji, lakini ni mfuatiliaji mzuri wa habari za ufugaji kwa ujumla.
..Je, mfugaji wa uganda atakuwa tayari au mkweli kukuuzia mbuzi Boer Pure?
..kama utaagiza toka Uganda basi hakikisha unanunua toka kwa mfugaji muaminifu na unajua mbuzi uliyeuziwa ana percent ngapi ya Boer, na uwe na rekodi za uzao wake.
..pia nadhani ni muhimu kwa Watanzania kuwa na ushirika wa wafugaji wa mbuzi wa kigeni kama boer, kalahari, etc ili kusaidiana kubadilishana mabeberu, kudhibiti viwango, na kuweka rekodi sahihi za breed hizo hapa nchini.
NB:
..nimesoma wafugaji wengi wanatumia majike wa gala ku-cross na beberu wa boer.
Duh,
Kwamba hao Boer Wana mikuyenge mikubwa Sana kiasi inazidi size ya mbususu za mbuzi wa asili?[emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Duu hili mdau kachangia, ila najua ni vigumu kumuachia Boer apande local goats..boer wana miili mikubwa ndio maana wanaweza kuumiza mbuzi jike wa kienyeji ambaye hajakomaa.
Ila mpaka kuwafikisha hapo amepitia mengi..uzoefu wa Mfugaji wa Ghanan kuhusu uagizaji wa mbuzi Boer kutoka Afrika Kusini.
Ila mpaka kuwafikisha hapo amepitia mengi
Imagine Africa yote sawa kwa police yaani rushwa mwanzo mwisho
Polisi na mbuzi wapi na wapi wana tamaa sana hawa
Vitambulisho vyote ila bado tu
Sasa sijui nani atawaleta kwetu maana wanaweza wakafia airport
Duu hili mdau kachangia, ila najua ni vigumu kumuachia Boer apande local goats
Ndio maana nawaza kuwa na aina moja tu hao wakubwa
Asante kwa kuleta hii