Ufugaji na kilimo unalipa sana

MalafyaleP tutakusumbua sana kwa mwaka huu kwa kweli maana hii kitu ni nzuri sana kama ukiamua na ukijiwekea lengo Kongosho kwa kweli ni aibu mtoto hajui mahindi yanakuaje au hajui ufuta au hajawahi kuona ng'ombe au mbuzi wakifugwa ni aibu sana
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana vitoto vya siku hizi vinajiita vifugaji, kisa vimefuga ndevu na dred, vinaudhi mno.

Utashanga mtoto anaona kipepeo anakimbia mbio, eti kaona mdudu mkuubwa. Tutaishia kulaumu watoto.
Huyu malafyale tutamsumbua sana kwa ushauri.

MalafyaleP tutakusumbua sana kwa mwaka huu kwa kweli maana hii kitu ni nzuri sana kama ukiamua na ukijiwekea lengo Kongosho kwa kweli ni aibu mtoto hajui mahindi yanakuaje au hajui ufuta au hajawahi kuona ng'ombe au mbuzi wakifugwa ni aibu sana
 
Ndio maana vitoto vya siku hizi vinajiita vifugaji, kisa vimefuga ndevu na dred, vinaudhi mno.

Utashanga mtoto anaona kipepeo anakimbia mbio, eti kaona mdudu mkuubwa. Tutaishia kulaumu watoto.
Huyu malafyale tutamsumbua sana kwa ushauri.

Kweli kabisa Kongosho unajua ukiwapeleka shamba weekend wakaenda kucheza au kufukuzana na panzi na njiwa huko shambani au sehem nyingine wakikutana na tumbili wakachafuka lile vumbi la shamba hawatakuwa kama hawa unaowaona mtaani wamevaa milegezo na kusokota dread
 
Last edited by a moderator:
Mr.misonge,
Gunia 15 per eka na hapo nililima pamoja na mahindi.ndo naandaa shamba nataka nilime alizeti bila kuchanganga na mahindi.
Kwa kweli mtaalam wangu amekuwa kitabu.nimekuwa nikisoma blogs.threads na publication mbalimbali then na implement.pia ushauri kwa watu wengine wenye uzoefu.
Siri ni action baada ya kupata enough facts kuanza.kuna kitu kinaitwa over researching na over analysis ambayo hupelekea procrastination.changamoto na struggle ni muhimu kwa mtu kufanikiwa.
Nashauri kila anaefikiria kufanya ujasiriamali asome kitabu "Before You Quit Your Job" by Robert Kiyosaki.kiyosaki anaelezea vizuri kwa nn watu wengi wanaogopa ujasiriamali.
 
Ahsante kwa maelezo yako, mimi nililima mwaka Jana bila kutumia mbolea, ni lazima kutumia mbolea?japokuwa ardhi yake haijawahi kulimwa Malafyale
 
Last edited by a moderator:

Heka 100 ulinunua kwa sh ngapi? Ulianza lini kufuga nguruwe au 9 na mpka leo wapo 70? Maelezo mengi hayajakamilika gunia 200 na 150. Ulilima lini?
 

Hongera sana mkuu,hakika hiki ulichokisema ni mwarobaini tosha kwa wanaotaka kujiajiri,sema tu tatizo kubwa huwa linakuwa ni mtaji,kwani haya mambo huwa si rahisi kama tunavyochapa herufi ktk komputer zetu.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu ilikuweza kufikia malengo.
Nikupongeze kwa hili,lakini ni vyema ukaweka wazi maana upatikanaji wa aridhi kubwa kiasi hicho si rahisi namna hii,je ni njia zipi unazitumia kuwa aridhi kubwa kiasi hicho? je unakodi ama ni zako unamiliki? maana hapo ndipo kwenye tatizo,mtaji wa aridhi na mtaji wa pesa
Kazi nzuri kwakweli,hongera sana
 
Safi sana niko nyuma yako mkuu ngoja nimaloze kusoma
 
Ardhi zipo kaka.ukitaka unapata.If u search u will find!pia sio lazima uanze na shamba unalodhani kubwa! Kuhusu mtaji ili mradi una kipato fulani waweza kuwa na mtaji kiasi fulani!
Jaribu kusoma kitabu kinaitwa "the richest man in babylon" by George Clason.wanauza sh.10,000 tu lakini ukisoma maisha yako yatakuwa tofauti sana.
Pia tafuta ebook kwenye google inaitwa the law of success by Napoelon Hill.soma lesson 2 hadi7
Kaka muhimu ni strong desire ya kutaka kuachieve kitu fulani
 
Huku ndo kwa kushinda na kupata maujuzi. Sio kila siku lema,kinana,mbowe zitto,

Kwa kweli! Na ukichunguza sana baadhi ya hao wanaobishana ktk majina tajwa hata kibanda cha kuku wa5 wanashindwa kuanzisha!
 
Ndio maana vitoto vya siku hizi vinajiita vifugaji, kisa vimefuga ndevu na dred, vinaudhi mno.

Utashanga mtoto anaona kipepeo anakimbia mbio, eti kaona mdudu mkuubwa. Tutaishia kulaumu watoto.
Huyu malafyale tutamsumbua sana kwa ushauri.
Tupo pamoja wakuu.kesho naamka mapema naenda kuangalia maendeleo shambani kabla ya kurudi kwa mwajiri kuwajibika
 

Mzee Nashukuru, umenisaidia sana!
 

kaka asante sana, nimekipata kitabu hiki "the law of success by Napoelon Hill" kina page 130 na pia nimekipata kitabu hiki "the richest man in babylon" http://www.ccsales.com/the_richest_man_in_babylon.pdf

ngoja nikipitie
 
Nashkuru mkuu nitavisoma hivyo vitabu ili nizidi kujiimarisha katika ufugaji,kwa kiasi kikubwa umenishawishi kuingia katika kilimo shukurani sana..
 
Kwa kiasi kikubwa UFUTA unakubali maeneo mengi 7bu hauhitaji MVUA nyingi! ziko mbegu aina nyingi mfano,LINDI 2OO2 hii ukitunza shamba vzr unavuna 1-1.2tons Mbegu kwenye maduka ya Pembejeo ila kuwa makini na kitu FEKI Ukiwa seriuos nishtue
Mkuu uko serious kuwa kuna mbegu inayoweza kutoa tani 1 mpaka 1.2?? kwa ufuta kwa heka??

Maana mie najua mbegu tunazotumia huku rufiji ni kilo 300 wastani kwa heka.
Kama ipo mkuu hebu funguka vizuri mkuu maana ni habari njema sana hasa ukizingatia kuwa mwaka huu kuna watu wameuza ufuta tsh 7500 kwa kilo huku Rufiji aiseee
 

Safi sana Mama Joe naona unagusa angle ninazozitaka tupu.

Naona changamoto kubwa ya kufuga mbuzi ni urundikaji wa mbuzi(population density) kwa eneo na ugonjwa unaotesa hasa ni minyoo,
Nakuja na wazo kuwa kama nitawalimia majani na nikatenga eneo maalumu kwa ajili ya kuwalimia virutubisho na ulaji wao ukawa ni wa kuwakatia majani naona ninaweza kuweka mbuzi hata 50 kwa hekari na nikawawekea na eneo la kucheza cheza

Hio mimea uliyoiongelea kama mlonge longe na calliandra kuna bwana mifugo kanitonya hapa kama uatweza kuwalisha mbuzi kama suppliments inawafanya mbuzi waongezeke uwezo wao wa kukua kwa siku kutoka gramu 900 kwa siku mpaka 1200 kwa siku kwa sababu ya high content ya protein, maana yake ni kuwa mbuzi badala ya kukua kwa miezi 6 yeye atakua kwa miezi 4 tu. Hii ni habari njema sana.

Changamoto bado naiona katika masoko. Kama ninatweza kuzalisha mbuzi 30,000 kwa mwaka niaweza kuwaingiza woote sokoni ndani ya mwaka mmoja hata kama ni kwa bei ya jumla ya tsh 60,000 maana nawalisha kwa kuwalimia majani na kuchelewa kwao kuingia sokoni ni hasara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…