Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana! Ulianza na mtaji mkubwa sana, endelea kutupa maujanja jinsi ulivyo boresha mfumo na kutumia eneo dogo, inaweza kuwa msaada kwa wenye uwezo mdogo wa kupata eneo kubwaMradi wangu sasa. unafika mwisho. Japo Mwezi wa Saba autafika kama nilivyo plan. Mwezi wa tano nauza iyo Bidhaa na kuingiza bidhaa mpya mwezi July. ambayo nitaiweka kwa siku 90 na kuiuza tena. Nimefanikiwa kuboresha mfumo wangu wa ufugaji. kutoka matumizi ya eneo kubwa sasa naweza tumia eneo dogo tu na kupata faida nzuri.
Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa.Hongera kwa inspirational story. Inapendeza, japo naomba nikuulize machache.
1. Familia yenu ina uwezo gani mkuu?? Je ni familia tajiri, masikini au ya kati..??
2. Je, ulipata support from family, brother, sister etc.
3. Ulianza kipindi gani, je ni baada ya kumaliza chuo tu, au sekondar..??
4. Kama ulianza baada ya kuanza kazi, how did you manage kusave 70% of ur salary na kujibana kwa only 30% mwezi mzima bila msaada wa malazi, chakula nk, kutoka kwa wazazi na ndugu wa karibu.
5. Ulisave 70% kwa muda gani, na kwa mshahara wa kiasi gani, ili kufikisha uwezo wa kununua: (a) Ng'ombe 145 @ 200000 = 29,000,000. (b) Kukodisha ekari 70 (c) Kumudu initial costs kma chanjo na malisho. Kwa yote hayo, roughly inaweza fika hata 35+million.
Umesha sema stayfar harafu akupe somo la nini?
Aisee wewe inaonesha ni tajiri hata kabla ya kuanza kufuga hao Ng'ombe! maana kwa hesabu hizo za Ng'ome mmoja kwa Sh 200,000/=(laki mbili) na wewe kuweza kuanza na Ng'ombe 145 unadhani wewe ni sawa hao wengi unaotaka kuwainspire??Nilinunua Ng'ombe 145 Watano walikufa Nimebaki na 140. Bei ya ng'ombe mmoja ilikuwa ni wastani 200000. Huwa kuna muda wa kununua. muda ambao mifugo hawana bei kutokana na njaa pamoja na uhaba wa Malisho. mifugo hukonda kiasi hivyo bei yao huwa nzuri. kama una mtaji na eneo muda huo ukifika basi toa pesa yako mahari umehifadhi wachukue hao jamaa. Nusu yao nimewatolea uwezo wa kupanda.
Said. that is how we do. ni rahisi kama ilivyo.Aisee wewe inaonesha ni tajiri hata kabla ya kuanza kufuga hao Ng'ombe! maana kwa hesabu hizo za Ng'ome mmoja kwa Sh 200,000/=(laki mbili) na wewe kuweza kuanza na Ng'ombe 145 unadhani wewe ni sawa hao wengi unaotaka kuwainspire??
sitaaamini unachokiandika hapa labda tu kama unadanganya!
American Wanna-Be!Said. that is how we do. ni rahisi kama ilivyo.
I got ur point bro. To start from zero to 30+ mil capital project sounds quite difficult kwa "familia zetu". Na ndio maana nilipenda kujua status ya familia unayotoka na ikiwezekana hyo 70% ya mshahara ilikuw ni kiasi gani (if u don't mind lakn).Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa.
Akiba Akiba Akiba. ukiweka laki tatu kila mwezi kwa miaka mitatu una milioni kumi na laki nane. hapo waweza buni mradi wowote. ukakuripa.
Tukiweka malengo tukatumia vizuri vipato vyetu vidogo na muda tukaupa nafasi yake tutafika.
umewanunua wapi?? na bei ngapi?? na kwa watu ambao hawapo mikoa ya jirani wanafanyaje?. tafadhari tujuzeHao unaowaona wapo kwenye iyo program ya eneo dogo. nimewachukua wakiwa wamekonda. baada ya siku 90 mkuu njoo uwaone. Tarehe 17 April. naanza kuwalisha
usiwe na mawazo ya walioshindwa.
Okay yote ni sawa Ufugaji ni utajiri na kilimo ni mali although vs ni sawa ila ungetueleza ulinunua ngombe kwa bei gani na operation cost mpka wamekomaa unategemea kuwauza usisahau ya madalali then jumlisha pamoja na ugawanye kwa idadi ya hao ng'ombe utuambie faida ya ng'ombe mmoja ni kiasi gani?
Pia ujilipe mda wako uliokuwa ukiutoa kufuatilia mifugo yako
Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa.
Akiba Akiba Akiba. ukiweka laki tatu kila mwezi kwa miaka mitatu una milioni kumi na laki nane. hapo waweza buni mradi wowote. ukakuripa.
Tukiweka malengo tukatumia vizuri vipato vyetu vidogo na muda tukaupa nafasi yake tutafika.
Ninachokisoma hapa ni wengi kuandika vitu ambavyo hawajawahi kuvifanya zaidi ya kusoma kwenye vitabu na kujifanya awanajua.