Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ssl hujanijubu swali languHayo maswali yote yamejibiwa kwenye hii story yangu.
Hujajibu yote job kwa namba kama ulivyoulizwaHayo maswali yote yamejibiwa kwenye hii story yangu.
= halafu
Mkuu majani ya malisho umelima? Unawalishaje katika eneo dogo ngombe zaidi ya 50?Hao unaowaona wapo kwenye iyo program ya eneo dogo. nimewachukua wakiwa wamekonda. baada ya siku 90 mkuu njoo uwaone. Tarehe 17 April. naanza kuwalisha
usiwe na mawazo ya walioshindwa.
Ufugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji na njia za maji. uwezo wa kununua pembejeo. Nje ya hapo wengi watakata tamaa. sie wasomi tumetiwa upofu na nani. hujiulizi kwa nini mkulima analima mwaka adi mwaka lakini maisha yake mbona hayabadiliki.? na wewe unaenda eti na ki millioni mbili kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya na unategemea millioni 20 nani kakudanganya wewe?
Mwezi wa Saba 2017 naenda kuvuna madume yangu ya ng'ombe yanipatie milioni 98. Milioni 50 naiwekeza Mjini. iliyobaki inanunua vidume vingine vya ng'ombe.
Siku Njema Wote[/QU
haya wape wasome sisi tushasoma tukamaliza tukaelewa, huyo jamaa tunafanana project mi mfugaji pia hehe ee wabeja sanaHabari za Jumapili Jamii. Kama kuna mtu ana kitabu cha ' THE RICHEST MAN IN BABYLON" BY GEORGE S. CLASON asaidie kukiattach apa. kina ujumbe ambayo natamani mtu yeyote ambaye hajakisoma akisome. ni kitabu maarufu sana.
Umeseme kweli kabisa....watu wengi sana humu jf wanaandika hadithi,ukijaribu kwenda kuwatembelea hukuti chochote!Ninachokisoma hapa ni wengi kuandika vitu ambavyo hawajawahi kuvifanya zaidi ya kusoma kwenye vitabu na kujifanya awanajua.