Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

Ahsante mkuu. Nitaifanyia kazi.
 
Mradi wangu sasa. unafika mwisho. Japo Mwezi wa Saba autafika kama nilivyo plan. Mwezi wa tano nauza iyo Bidhaa na kuingiza bidhaa mpya mwezi July. ambayo nitaiweka kwa siku 90 na kuiuza tena. Nimefanikiwa kuboresha mfumo wangu wa ufugaji. kutoka matumizi ya eneo kubwa sasa naweza tumia eneo dogo tu na kupata faida nzuri.
 
Hongera sana

Hongera sana! Ulianza na mtaji mkubwa sana, endelea kutupa maujanja jinsi ulivyo boresha mfumo na kutumia eneo dogo, inaweza kuwa msaada kwa wenye uwezo mdogo wa kupata eneo kubwa
 
Hongera kwa inspirational story. Inapendeza, japo naomba nikuulize machache.

1. Familia yenu ina uwezo gani mkuu?? Je ni familia tajiri, masikini au ya kati..??

2. Je, ulipata support from family, brother, sister etc.

3. Ulianza kipindi gani, je ni baada ya kumaliza chuo tu, au sekondar..??

4. Kama ulianza baada ya kuanza kazi, how did you manage kusave 70% of ur salary na kujibana kwa only 30% mwezi mzima bila msaada wa malazi, chakula nk, kutoka kwa wazazi na ndugu wa karibu.

5. Ulisave 70% kwa muda gani, na kwa mshahara wa kiasi gani, ili kufikisha uwezo wa kununua: (a) Ng'ombe 145 @ 200000 = 29,000,000. (b) Kukodisha ekari 70 (c) Kumudu initial costs kma chanjo na malisho. Kwa yote hayo, roughly inaweza fika hata 35+million.
 
Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa.
Akiba Akiba Akiba. ukiweka laki tatu kila mwezi kwa miaka mitatu una milioni kumi na laki nane. hapo waweza buni mradi wowote. ukakuripa.
Tukiweka malengo tukatumia vizuri vipato vyetu vidogo na muda tukaupa nafasi yake tutafika.
 
hiyo laki tatu. ni mfano tu. najua vipato havifanani
 
Nilinunua Ng'ombe 145 Watano walikufa Nimebaki na 140. Bei ya ng'ombe mmoja ilikuwa ni wastani 200000. Huwa kuna muda wa kununua. muda ambao mifugo hawana bei kutokana na njaa pamoja na uhaba wa Malisho. mifugo hukonda kiasi hivyo bei yao huwa nzuri. kama una mtaji na eneo muda huo ukifika basi toa pesa yako mahari umehifadhi wachukue hao jamaa. Nusu yao nimewatolea uwezo wa kupanda.
Aisee wewe inaonesha ni tajiri hata kabla ya kuanza kufuga hao Ng'ombe! maana kwa hesabu hizo za Ng'ome mmoja kwa Sh 200,000/=(laki mbili) na wewe kuweza kuanza na Ng'ombe 145 unadhani wewe ni sawa hao wengi unaotaka kuwainspire??
sitaaamini unachokiandika hapa labda tu kama unadanganya!
 
Said. that is how we do. ni rahisi kama ilivyo.
 
Leo wewe ni masikini sana lakini umeweka lengo la kufungua shule ya chekechea. huo mradi unahitaji milioni 73. Swali la msingu kwako ni hili. nitaipataje iyo milioni 73. je kipato changu kitafika uko. chora njia ya kupata iyo milion 73 ili lengo lako lifikie hapo. hata kama itachukua miaka 17 subiri. kwa sababu hilo ndiyo lengo lako kubwa katika maisha yako. na utaishi na hiyo ndoto mpaka ufanikiwe. na usime sababu ya wewe kuwa hai ni kufungua shule ya chekechea. ili watoto wapate elimu.
usipokuwa na lengo. katika maisha sahau kufanikiwa.
weka muda wa kufikia ilo lengo lako.
usiweke lengo lisilokuwa na muda wa kukamilika kwake.
 
Ninachokisoma hapa ni wengi kuandika vitu ambavyo hawajawahi kuvifanya zaidi ya kusoma kwenye vitabu na kujifanya awanajua.
 
Attachments

  • tmp-cam--594880241.jpg
    tmp-cam--594880241.jpg
    7.7 KB · Views: 100
Hao unaowaona wapo kwenye iyo program ya eneo dogo. nimewachukua wakiwa wamekonda. baada ya siku 90 mkuu njoo uwaone. Tarehe 17 April. naanza kuwalisha
usiwe na mawazo ya walioshindwa.
 
Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa.
Akiba Akiba Akiba. ukiweka laki tatu kila mwezi kwa miaka mitatu una milioni kumi na laki nane. hapo waweza buni mradi wowote. ukakuripa.
Tukiweka malengo tukatumia vizuri vipato vyetu vidogo na muda tukaupa nafasi yake tutafika.
I got ur point bro. To start from zero to 30+ mil capital project sounds quite difficult kwa "familia zetu". Na ndio maana nilipenda kujua status ya familia unayotoka na ikiwezekana hyo 70% ya mshahara ilikuw ni kiasi gani (if u don't mind lakn).

Hta kma ulisaidiwa pia sio dhambi ukatuweka wazi kwa sababu wapo watakaokuwa inspired na story yko, wakiamini nao wataweza kuanza from zero, wkt ww mwenzao u had a shoulder to lean on.
 
Hao unaowaona wapo kwenye iyo program ya eneo dogo. nimewachukua wakiwa wamekonda. baada ya siku 90 mkuu njoo uwaone. Tarehe 17 April. naanza kuwalisha
usiwe na mawazo ya walioshindwa.
umewanunua wapi?? na bei ngapi?? na kwa watu ambao hawapo mikoa ya jirani wanafanyaje?. tafadhari tujuze
 
Okay yote ni sawa Ufugaji ni utajiri na kilimo ni mali although vs ni sawa ila ungetueleza ulinunua ngombe kwa bei gani na operation cost mpka wamekomaa unategemea kuwauza usisahau ya madalali then jumlisha pamoja na ugawanye kwa idadi ya hao ng'ombe utuambie faida ya ng'ombe mmoja ni kiasi gani?
Pia ujilipe mda wako uliokuwa ukiutoa kufuatilia mifugo yako

Kwa harakahara ng'ombe tu aliwanunua 29M, hapo bado hajatuambia hilo shamba alinunua shilingi ngapi.

Mtoa mada nina mashaka hii ume copy sehem ukatuletea ndio maana unshindwa kudadavua vizuri

Nasubiri majibu ili nikupe ushauri kidogo
 
Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa.
Akiba Akiba Akiba. ukiweka laki tatu kila mwezi kwa miaka mitatu una milioni kumi na laki nane. hapo waweza buni mradi wowote. ukakuripa.
Tukiweka malengo tukatumia vizuri vipato vyetu vidogo na muda tukaupa nafasi yake tutafika.

Jibu maswali kama ulivyoulizwa?
 
Back
Top Bottom