Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

Hao unaowaona wapo kwenye iyo program ya eneo dogo. nimewachukua wakiwa wamekonda. baada ya siku 90 mkuu njoo uwaone. Tarehe 17 April. naanza kuwalisha
usiwe na mawazo ya walioshindwa.
Mkuu majani ya malisho umelima? Unawalishaje katika eneo dogo ngombe zaidi ya 50?
 
Habari za Jumapili Jamii. Kama kuna mtu ana kitabu cha ' THE RICHEST MAN IN BABYLON" BY GEORGE S. CLASON asaidie kukiattach apa. kina ujumbe ambayo natamani mtu yeyote ambaye hajakisoma akisome. ni kitabu maarufu sana.
haya wape wasome sisi tushasoma tukamaliza tukaelewa, huyo jamaa tunafanana project mi mfugaji pia hehe ee wabeja sana
 

Attachments

Ninachokisoma hapa ni wengi kuandika vitu ambavyo hawajawahi kuvifanya zaidi ya kusoma kwenye vitabu na kujifanya awanajua.
Umeseme kweli kabisa....watu wengi sana humu jf wanaandika hadithi,ukijaribu kwenda kuwatembelea hukuti chochote!
 
Natamani kufanya hii kitu muda mrefu ila nikakutana na vikwazo kadhaa.. naamini huu si mwisho kwako na utakuwa na mawazo ya kutanua zaidi.. natamani na mie niwe nao kama 100 kwa kuanzia.. Naomba uni PM namba yako tuone tunaweza kushirikiana vipi kwenye hii fursa.. I am serious and once i get your number i will give you a call right away.. Mimi nafanya kilimo zaidi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…