Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha mihemuko, toa somo unafugaje hao ng'ombeUfugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji na njia za maji. uwezo wa kununua pembejeo. Nje ya hapo wengi watakata tamaa. sie wasomi tumetiwa upofu na nani. hujiulizi kwa nini mkulima analima mwaka adi mwaka lakini maisha yake mbona hayabadiliki.? na wewe unaenda eti na ki millioni mbili kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya na unategemea millioni 20 nani kakudanganya wewe?
Mwezi wa Saba 2017 naenda kuvuna madume yangu ya ng'ombe yanipatie milioni 98. Milioni 50 naiwekeza Mjini. iliyobaki inanunua vidume vingine vya ng'ombe.
Siku Njema Wote
Mkuu nakupongeza una maono mazuri, ila usiwakejeli wengine maana ni jana tu nimetoka kusikia kuwa ugonjwa wa sotoka (rinderpest) ambao huwapata ngombe umedhibitika huko ngorongoro, labda utuambie umewawekea ngombe wako insuarence maana wakulima na wafugaji wengi pamoja na madhara mengine hupata hasara kubwa kutokana na madhara/matatizo yasioyoweza kutabirika.
i.e
magonjwa
Ukame
Mafuriko
Uhaba wa soko na bei shindanishi
Wizi n.k[/
Hatuwezi kuogopa majanga.
Subiri mpaka uvune usianze mbwembwe mapema teh tehUfugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji na njia za maji. uwezo wa kununua pembejeo. Nje ya hapo wengi watakata tamaa. sie wasomi tumetiwa upofu na nani. hujiulizi kwa nini mkulima analima mwaka adi mwaka lakini maisha yake mbona hayabadiliki.? na wewe unaenda eti na ki millioni mbili kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya na unategemea millioni 20 nani kakudanganya wewe?
Mwezi wa Saba 2017 naenda kuvuna madume yangu ya ng'ombe yanipatie milioni 98. Milioni 50 naiwekeza Mjini. iliyobaki inanunua vidume vingine vya ng'ombe.
Siku Njema Wote
Subiri mpaka uvune usianze mbwembwe mapema teh teh
mkuu uko vizuri, binafsi nimekuelewa na nimejifunza kitu. malengo ya muda mrefu ni kitu cha msingi sana, watu huwa wanatamani kukamilisha vitu kwa muda mfupi tu.
next time, usipende hitimisho la kudhani unachofanya wewe tu ndo fursa pekee kuliko vingine, heading ya post yako tu umeanza kwa kuponda ufugaji wa kuku na nguruwe. kuna watu wametajirika kupitia huko. sema wewe hujaona huko kama kuna fursa, tunatofautiana miono, kuna mwingine wewe unakodhani ndo fursa usimwambie hata kidogo.
by the way! hongera sana na Bwana akubariki.
Mkuu hapo mahali kwenye nguruwe Tabora napajua,ni kati ya sehemu zilizonihamasha kufanya ufugaji wa Nguruwe,HONDA XL
UMESEMA VYEMA.
Najua ufugaji w kuku na nguruwe na uwekezaji mwingine unalipa. Nimewahi kutembelea mradi mmoja wa nguruwe upo tabora, njia ya kuelekea Urambo kulia kwako kabla hujafika Tumbi. Nilijifunza mengi sana kuhusu ufugaji wa nguruwe. ni uwekezaji mkubwa sana wa Shamba la Nguruwe. Na inamlipa sana huyo bwana. kwa wale wanaotaka kijifunza wanaweza kufika apo uyo bwana anapenda sana vijana wajasiliamali wajifunze pale. ana mabwawa ya samaki pia. Mwaka 2014 alikuwa na changamoto kwa ufugaji wa samaki. Lakini pia Mwaka huo wa 2014. nilibahatika kutembelea mradi mkubwa wa kuku wa kienyeji. unamilikiwa na mzee mmoja bi Auditor yupo pale Tabora. Ni mradi ambao pia umefaulu sana. yupo karibu na Hospital ya kitete Mita kama mia 600 kutoka hospital ya Kitete. Alikuwa na mpango w kununua shamba ili apanue zaidi Mradi wake. Kuna vitu nilijifunza sana kwa hao Mabwana. how they started and Sustainable projects. Sikuopt iyo fursa nimeopt fursa nyingine kwa sababu nimetumia muda pia kuwa na uelewa wa hii Miradi.
Mungu Awabariki Wapendwa
Ufugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji na njia za maji. uwezo wa kununua pembejeo. Nje ya hapo wengi watakata tamaa. sie wasomi tumetiwa upofu na nani. hujiulizi kwa nini mkulima analima mwaka adi mwaka lakini maisha yake mbona hayabadiliki.? na wewe unaenda eti na ki millioni mbili kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya na unategemea millioni 20 nani kakudanganya wewe?
Mwezi wa Saba 2017 naenda kuvuna madume yangu ya ng'ombe yanipatie milioni 98. Milioni 50 naiwekeza Mjini. iliyobaki inanunua vidume vingine vya ng'ombe.
Siku Njema Wote
Ulianza na 29mil. Duuuuuuuuuu
Ulianza na 29mil. Duuuuuuuuuu