Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

Kuna makampuni ambazo zinanahusika na utunzaji wa nyuki hivyo basi soon tutaweka majina ya makampuni hayo uweze kuyaona
But kuna nyuki mkombozi company ambayo currently wanatoa mambo yote ya nyuki
 
Kama upo Dar nenda wizara ya mali asili,wanatoa ushauri bure na mizinga bei ni elfu 70,unaeza nunua mzinga halafu ukampa fundi atakandamizia na kukufyatulia mingine 6,
nyuki hawana ulazima wa kupandwa kwa tanzania nyuki wapo kila mahali,weka mazingira sahihi ya mzinga panda mazao ya matunda na maua.
kuna jamaa anapata kipato cha milioni 2 kila mwezi kwa ufugaji nyuki .yupo kigoma
 
I see hii nzuri sana na jee, shamba lenye mzinga liwe umbali gani na makazi? Maliasali watanipa maelezo na requirement zote?
 
Wenye maujuzi na nyuki tupeni tupen maujuzi yenu kupitia hii post kwani mleta uzi yeye anatangaza biashara na sio kutoa ujuzi
 
Habari wana jf!
Ni kweli kabisa mradi wa nyuki ni moja kati ya miradi ambayo inaweza kuinua na kukuza kipato cha mtu....mradi huu hauhitaji utaalam wa hali ya juu sana ila unahitaji umakini sana. Nashauri kwamba kama unahitaji huanzisha mradi huu ni vema ukajifunza mahitaji muhimu na namna ya kuendesha mradi huu,na pia upate mafunzo ya kutengeneza mishumaa kwani kupitia nta utaweza kutengeneza mshujaa.
 
I see hii nzuri sana na jee, shamba lenye mzinga liwe umbali gani na makazi? Maliasali watanipa maelezo na requirement zote?

kuna nyuki wa aina mbili,wanaong'ata na wasiong'ata....mizinga lazima iwe mbali na makazi,eneo la mifugo na barabara kwani mara nyingi sana nyuki huwa hawapendi usumbufu na ili kujihami lazima wang'ate....
 
Habari wanajf......
Bado naendelea kuwakaribisha katika upatikanaji wa fursa hapa nchini kwenu kwani kwa sasa nipo hatua za mwisho za kuandaa business plan kwa ajiri ya Nyuki na bidhaa zake, kuku wa mayai, utengenezaji wa vyakula vya kuku, utotoreshaji wa vifaranga pamoja na kilimo cha mpunga.Wote wanakaribisha ili tuweze kuinuana kiuchumi.
Kuhusu nyuki, ni vema ukafuga kwa njia za kisasa ambazo zitakuletea manufaa.
Ahsanteni.
 
Karibu sana ndugu yangu:

Habari Mkuu,Uko wapi Bw Josephat? Mie nitakuwepo Dar mwishoni mwa mwezi huu ningependa nikutafute mkuu unipe uzoefu wako kwani niko na interest ya kupata buzz plan ya biashara kama hiyo, msaada wako wa ushauri nauhitaji, Asanteni, Nr yangu 0713354090.
 
Salama mkuu!
Ahsante sana kwa kuwa na interest ya ufugaji wa nyuki kwani ni mradi mzuri ambayo uangalizi wake ni rahisi sana na hauhitaji vitu vingi sana. Mimi napatikana Morogoro ndipo makazi yangu yalipo. Endapo hatutaonana mara nyingi huwa tunafanya kwa njia ya email na simu.
Email yangu ni jpshimo@yahoo.com
0713659828
Ahsante sana
 
habari ndugu zangu!
Unapotaka kuanzisha mradi wa nyuki,hakikisha eneo lako liko mbali na makazi ya watu na wanyama wengine! Pia fanya chaguo sahihi la mzinga ili upate asali nzuri.
Nashauri usichakachue asali kwani unaharibu soko hata kwa wenzio kwani asali ina soko mpaka nje ya nchi
 
Salama mkuu!
Ahsante sana kwa kuwa na interest ya ufugaji wa nyuki kwani ni mradi mzuri ambayo uangalizi wake ni rahisi sana na hauhitaji vitu vingi sana. Mimi napatikana Morogoro ndipo makazi yangu yalipo. Endapo hatutaonana mara nyingi huwa tunafanya kwa njia ya email na simu.
Email yangu ni jpshimo@yahoo.com
0713659828
Ahsante sana

Mkuu tutaongea unisaidie mawazo na ujuzi. Nmepata kitu kaka...
 
0ngeza thamani ya asali kwa kuiprocess na kuipack! Pia zingatia ubora wa asali yako usishuke kwa kuongeza vitu visivyohitajika.
 
ukiwa unafuga nyuki, hakikisha unafuatilia msimu wa maua ili uweze kwenda sawa na ulinaji wa asali
 
kuna nyuki wa aina mbili,wanaong'ata na wasiong'ata....mizinga lazima iwe mbali na makazi,eneo la mifugo na barabara kwani mara nyingi sana nyuki huwa hawapendi usumbufu na ili kujihami lazima wang'ate....

Kaka, utawajuaje nyuki wanaong'ata na wasiong'ata? Me ningependelea wasiong'ata...
 
Back
Top Bottom