Hii njia inakuwa applied hata kwa nyuki wasiouma?
Nyuki wasio uma mara nyingi ni njia ya kwanza, deswarming na ya tatu, yaani mzinga wao ukikosa usalama basi wanahama. Ni ngumu sana kuhamia ktk mizinga ya kisasa. Wapo vijana wanaweza kuwahamisha toka makoloni yao ya asili mpaka kwenye mizinga ya kisasa. Uzuri wa hawa nyuki unaweza kukaa nao sebuleni na ukala na kunywa nao !!!!!!