JOSEPHAT.P
Member
- Sep 14, 2013
- 70
- 18
Wenye maujuzi na nyuki tupeni tupen maujuzi yenu kupitia hii post kwani mleta uzi yeye anatangaza biashara na sio kutoa ujuzi
I see hii nzuri sana na jee, shamba lenye mzinga liwe umbali gani na makazi? Maliasali watanipa maelezo na requirement zote?
achakumlaum mleta uzi mpigie yuko bize sana mimi kanipa mwongozo wa ukweli
Karibu sana ndugu yangu:
Habari Mkuu,Uko wapi Bw Josephat? Mie nitakuwepo Dar mwishoni mwa mwezi huu ningependa nikutafute mkuu unipe uzoefu wako kwani niko na interest ya kupata buzz plan ya biashara kama hiyo, msaada wako wa ushauri nauhitaji, Asanteni, Nr yangu 0713354090.
Salama mkuu!
Ahsante sana kwa kuwa na interest ya ufugaji wa nyuki kwani ni mradi mzuri ambayo uangalizi wake ni rahisi sana na hauhitaji vitu vingi sana. Mimi napatikana Morogoro ndipo makazi yangu yalipo. Endapo hatutaonana mara nyingi huwa tunafanya kwa njia ya email na simu.
Email yangu ni jpshimo@yahoo.com
0713659828
Ahsante sana
Mkuu tutaongea unisaidie mawazo na ujuzi. Nmepata kitu kaka...
kuna nyuki wa aina mbili,wanaong'ata na wasiong'ata....mizinga lazima iwe mbali na makazi,eneo la mifugo na barabara kwani mara nyingi sana nyuki huwa hawapendi usumbufu na ili kujihami lazima wang'ate....