Betri yenye chaji
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 743
- 642
Nina njiwa kama 200 nahitaji soko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?
Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?
Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
Asante mkuuNimesoma Huu Uzi Kwa Masikitiko Makubwa Sana, All I Can See Ni Chicken Little "The Sky Is Falling"
zukisa Wewe Umeona Opportunity Lakini Wenzako Wanaona Wakenya Na Soko, Hao Wengiene Wanaouza Soko Wanapata Wapi?
Usisikilize Ya Watu Fata Roho Yako Inataka Na Imeona Nini, Unachoona Wewe Azarel Does Not See It
Asije Akakwambia Mtu Tena Hiki Ni Bora Kuliko Hiki Na Ukakubali, Tambua Mafanikio Yako Ni Juhudi Zako Na Ukiona Wanasema Ni Ngumu Nenda Hukohuko
Sababu Utakuwa Peke Yako Na Utatengeneza Soko Lako (Niche) Dont Listern To People Too Much
Be Prepared For Hardwork, Sets Your Plans, Overcome The Negativity, Be Smart Utafanikiwa, Biashara Siyo Rahisi Ingekuwa Rahisi Kila Mtu Angefanya.
Usitafute Ushauri Kwenye Unatochotaka Kufanya, Tafuta Ushauri Ni Vipi Utakifanya
Itakugharimu Kwenye Mabanda Jinsi Ya Kuyajenga Na Madawa Basi Chakula Sungura Ukiwapandia Spinach Pori Na Nyasi Mchezo Umekwisha.
Nilishafanyia Utafiti Ufugaji Wa Sungura, Kwenye Sungura Unauza Ngozi, Unauza Mavi Yao, Unauza Mkojo, Unauza Nyama
Ukiweka Uwoga Kwenye Biashara Hutafanikiwa Pia Tambua Nini Cha Kuuliza, Nani Wa Kumuuliza, Wapi Pa Kuuliza
Ukitaka Ushauri Infomation Mpaka Contacts Niambie Nitakusaidia Hata Business Plan Nitakupa
Nimekuelewa sana, nashukuruMimi hii project ya sungura naiogopa saana! naona kama ni nadharia zaidi sijawahi pata mtu akaniambia uhalisia wake ukoje! Kikubwa tujifunze kufanya project ambazo masoko yake tunayajua yaan tunaweza kuuza bila kupiga simu ya kutafutiwa mteja au masoko.
Ila kweli, unaweza fwata mkumbo alaf ukaangukia puaPole mwanzishaji uzi kwa kutojibiwa swali ulilouliza, Kuhusu Breeds (mbegu) za sungura zimeganyika ktk makundi makuu matatu
1. Small breeds (mbegu yenye umbo ndogo) mfano; Dutch, Angora, Dwarf breeds n.k
2. Medium breeds (mbegu yenye umbo wastani) mfano; Newzealand white, California white n.k
3. Large breed (mbegu kubwa) mfano; Flemish giant, Chinchilla, Germany breeds
Kibiashara yaani kwa ajili ya nyama nakushauri ufuge kati ya Newzealand white, calfornia white au crossbreed ya Newzealand & Calfornia white
Zifuatazo ni sababu kwanini nakushauri ufuge medium breeds rather than large breed rabbit
*Wana mature early 3-4 months ukilinganisha na large breed 8-9 months
*Wanafikia marketing weight ndani ya muda mfupi as mentioned above with carcass average weight (2.5-3kg)
*Most of small breeds wanastahamili joto wakati hizi large breed zina perform well mazingira ya hali ya baridi
*Wanakula small amount of feed.
SUNGURA KIBIASHARA ZAIDI
Kwanza tukubaliane ktk baadhi ya maeneo hapa nchini ufugaji wa sungura ni jambo geni hivyo kupelekea hata ulaji wa nyama yake haupo popular ukilinganisha na nyama ya kuku, mbuzi,ng'ombe.
PIA USIKURUPUKE/USIFUATE MKUMBO UKAINVEST PESA YAKO BILA YA KUFANYA UTAFITI JUU YA MASOKO YA NYAMA NA BIDHAA NYINGINE ZITOKANAZO NA SUNGURA
Wewe umeshaona wapi mtu anakula sungura?!!
Alafu watakudanganya sungura mmoja 50,000
Chaka hilo!
Fuga samaki.....
Wasiliana na Namaingo, hii ni kampuni inayojishughulisha na ufugaji wa sungura.Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?
Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?
Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
HAWAFIKII SOKO LA KUKU MKUUMbona sungura wanaliwa man, tena nyama yake ni tamu sana..
chinchiraJamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?
Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
Hoteli gani uswahilini uliwahi kuagiza "wali sungura?" ukifuga hao wadudu ufuge kama urembo ila kama biashara yatakudodea kama walivyoingizwa mkenge watu wakafuga kware yameishia wapi? fuga vitu vinavyoliwa na watu wengi.