Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Dah hii hatareeeeee saana...
Lakini hii kampuni si ndo ile iliyotangazwa sana kwenye wanawakelive au.?
 
Kuna utapeli umeingia wa hao sungura na kware,utanunua kwa wingi mwisho wa siku utabaki nao mwenyew ukitaka kujua fursa za kilimo ni pm namba yako nikuunfanushe group la wajasiriamali
Yas mkuu niunganishe na ilo group la wajasilia mal..
 
Achana na hayo mambo bana.!!
Wewe umeshaona wapi mtu anakula sungura?!!
Alafu wanakuambia sungura mmoja 50,000
Chaka hilo!
Fuga samaki.....
Mkuu umenena,

Kuna kitu kinaitwa Ponzi scheme. Kitu kinapewa dhamani ilhali kwenye uhalisia hakina dhamani.

Na mara nyingi hawa wajanja wanaweka kipindi cha mpito ili wapate muda wa kukufumbaza na baadaye watokomee.

Wanakuuzia mbegu, na ndiyo unakuwa umeliwa. Kuna wachache sana huwa wanafaidika ili kuleta ushuhuda, lakini baada ya hapo ni kilio.
 
Hah! Kumbe ni wajanja wanaleta Mbegu alaf pia ni kipindi cha mpito?? Lakini mbona sungura ni mda mrefu tu wanafugwa??
 
Back
Top Bottom