Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Fuga kwa ajili ya nyama yake bora tu.
 
Naomba mtutupie picha za banda bora la kufugia sungura
 
Nilishawafuga sana zamani kipind nkiwa darsa la tano, mwaka 2004 nlikua nao weng nna uzoefu nao... nategemea kurudia tena kama zaman
Mimi nilifuga kipindi icho 2004, nilikuwa form five Jitegemee high school, walikuwa wananisaidia sana kupata pesa ya shule
 
 
Wana Jamvi,
Kuna kampuni moja ya maeneo ya sinza wamekuja kanda ya ziwa wakiendesha semina ya ufugaji wa Sungura. Pia wanasema wana tafuta masoko na kununuwa mazao ya sungura toka kwa wakulima. Naomba kama kuna mtu ana exposure na hii kitu anijuze na hasa uhalisia wa haya masoko. Nawakilisha.
 
Ebu kawasikilize ili upate picha halisi ya hilo jambo, halafu mengine yatafuata
 
Dar watu hawali Sungura kaka, hao mtawala huko huko kijijini.
 
Wadau bado nahitaji kupata mawazo kwa wale ambao mna taarifa zaidi za hili jambo. Kampuni yenyewe inaitwa tbcc ina ofisi zake sinza Dar.
 
Nahitaji mbegu ya kisasa ya sungura nipo arusha 0622000900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…