Hamastry
Member
- Mar 19, 2017
- 7
- 0
Mambo mengine ya ajab watu Wengne ni mashetanHivi kwa kipi kilichofanya utukane kiasi hiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine ya ajab watu Wengne ni mashetanHivi kwa kipi kilichofanya utukane kiasi hiki?
Upo mkoa gani? Na unahitaji wa kienheji au kisasa?Natafuta Sungura jamani
Mimi nilifuga kipindi icho 2004, nilikuwa form five Jitegemee high school, walikuwa wananisaidia sana kupata pesa ya shuleNilishawafuga sana zamani kipind nkiwa darsa la tano, mwaka 2004 nlikua nao weng nna uzoefu nao... nategemea kurudia tena kama zaman
![]()
Leo baada ya kutoka zoezini asubuhi nika switch On TV na kuweka Channel Ten na kukutana na hii Mada juu ya ufugaji wa Sungura hawa jamaa wanaitwa TBCC jamani kama vijana tufatilie na tujifunze kilo moja ya nyama ya Sungura inanunuliwa 8000/= tuchangamkie Congo wanataka Tani 20 za nyama ya Sungura
Dar watu hawali Sungura kaka, hao mtawala huko huko kijijini.
Inaitwa tbccWanaitwaje iyo kampuni maingo or tbcc
Wadau bado nahitaji kupata mawazo kwa wale ambao mna taarifa zaidi za hili jambo. Kampuni yenyewe inaitwa tbcc ina ofisi zake sinza Dar.Wana Jamvi,
Kuna kampuni moja ya maeneo ya sinza wamekuja kanda ya ziwa wakiendesha semina ya ufugaji wa Sungura. Pia wanasema wana tafuta masoko na kununuwa mazao ya sungura toka kwa wakulima. Naomba kama kuna mtu ana exposure na hii kitu anijuze na hasa uhalisia wa haya masoko. Nawakilisha.
Ndio mi nahitaji kufuga kwa ajili ya kula tuFuga kwa ajili ya nyama yake bora tu.