Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa na wale farasi wa polisi wa kutulizia fujo!!!!!!Anakimo gani huyo kuku wa laki 2...
so wanapatikana wapi vifaranga, mbona mnajib maswali msoulizwa? au na nyie n f4 wa kawambwa?
ninao lakini sio wengi sana
Mkuu kitomari2
Ninawahitaji hawa ... kama kumi hivi
utapata
Nipo dar. Bei gani
kifaranga wa sku 1 ni 40000
nikweli bwana kuchi burundi anafika mpk laki mbiliMdau mmoja humu jamvini anaitwa mwalwisi, aliniomba nimtafutie mbegu hiyo,nilimpeleka mkuranga kwa mpemba, mpemba huyu yuko njia ya kwenda kisiju,Baada ya kupita kile kilima chenye lami kwa bondeni pale. Mpemba alimwambia mwalwisi kuwa ni rahisi kumuoza binti yake kuliko kununua wale kuku wake. Jogoo ili kuwa laki mbili unusu na kifaranga ni Bukuku kumi na tano. Baadae tuliamua kununua bokea. Anayebisha, atoe nauli nimpeleke akahakikishe.
kifaranga wa sku 1 ni 40000
Nenda kwenye mijadala ya nyuma kuna info zaidi.