Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
mkuuu ungeweka link ingekuwa fresh zaid
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/436338-vifaranga-aina-ya-kuchi.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuu ungeweka link ingekuwa fresh zaid
naiona shida mnayoipata wadau hapa ... nayo ni mazoea bahati mbaya ndio ugonjwa mkubwa umetuathiri Watanzania na shughuli zetu zote kwa kiasi kikubwa.
Tumekuwa tukilima na kufuga kwa mazoea! Ndio maana leo ukiambia mbegu ya kuku ni laki 2 unang'aka!
Tuacheni mazoea twendeni kisayansi ...chochote tunachotaraji kukifanya tukifanyie utafiti na tujiandae kugharimia.
Hapa.inaongelewa mbegu ya kuku inayoleta tija ...sasa weye benda Singida au hata hapo Sinza sokoni kaokote wake kuchi uchwara .mbegu yao imezunguka tangu ebxi ua marehemu bibi..you doomed to fail
Hawa kwa Dar ukuaji wake wa kusua sua sana.
hyo kitu ni kweli aisee sio mala ya kwanza kusikia kuhusu kuchi kuuzwa bei hiyo....kuna siku nilisoma makala kwenye gazeti moja la hapa kuhusu ufugaji wa kuku haswa hao kuchi nilivyoenda kwenye kipengele cha bei nilibaki mdomo wazi....kwa watu wanaojua kazi ya hao kuku wapo tayari kununua kwa hiyo bei...ni moja ya kuku ambao ni expensv sana kutokana na demand yake....sio uongo wajameni hzo bei.
Mimi ninao Kuchi , ila siuzi kwa sasa. Mmoja nilimnunua 40,000/- wadogo na jogoo mkubwa 120,000/-
3 na mitetea 6. Wawili Wameibiwa Nina Mayai 25 na watatu bado wanataga. Hawa ni Special breed wazuri hata kwa kuwalook. Mungu akijaalia ntakuwa na vifaranga 30 next month August 2013.
Kuchi hanyi njiani hutumiwa kusafirishia dhahabu burundi ndio maana wanauzwa ghali
Mimi ninao Kuchi , ila siuzi kwa sasa. Mmoja nilimnunua 40,000/- wadogo na jogoo mkubwa 120,000/-
3 na mitetea 6. Wawili Wameibiwa Nina Mayai 25 na watatu bado wanataga. Hawa ni Special breed wazuri hata kwa kuwalook. Mungu akijaalia ntakuwa na vifaranga 30 next month August 2013.
naomba mwenye kujua nitapoweza.pata vifaranga wa kienyeji aina ya kuchi. nahitaji kama 40.
Mkuu hii aina ya vifaranga niliiona mpwapwa kwa mkuu wa chuo cha mifugo. Ni kuku fulani wazuri sana na bei yake iko juu kiasi kwamba nilishangazwa kuambiwa kuku anauzwa laki mbili. Hawa wanapendwa sana na watu wanaopenda michezo ya kuku haswa kupigana. Bahati mbaya sikuchukua namba ya yule bwana nigekupatia uwasiliane nae.