Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Waooh! Kwa hapa nimeshtuka bwana robert hawa kuku niliwah kuwashudia kwenywe mashindano ya kupigana zanzbar asee wazuri mno
 
Mkuu niliongea nawewe jana nishakutumia ela teari ivo kesho nimatarajia nitawapata
 
Niko Mwanza city, nawahitaji kama 20 hivi; bei yako tafadhali...
 
Niko Mwanza city, nawahitaji kama 20 hivi; bei yako tafadhali...

mkuu hawa kuch ni bora kuliko wale vifaranga wako?
maana nimekupigia simu haipo hewani!
nishauri ninunue wepi?
 
Kwa ufupi ni kuku wenye uzito mno warefu nikuku wasiopigwa kabsa na kuku wengine
 
Somethin fishy is goin on here...robert post a picture of your chicken otherwise stop playing as selemman
 
Robert=seleman (kama comedy za kitomar2 vile), (wapo wengine wawili zaidi (Kir..... &Kima....)mmmmmhhhh!
 
Huu sasa utapeli. Kampuni yako inaitwaje? Kuku wenyewe ni vifaranga, halafu wazito sana na warefu. Mmh ngoja waagize mimi nitakuwa wa mwisho.
 
Robert=seleman (kama comedy za kitomar2 vile), (wapo wengine wawili zaidi (Kir..... &Kima....)mmmmmhhhh!

wacha ujinga ww jaribu kufikiri kabla ya kuandika usiamke tu nakupost ujinga kwenye biashara za watu
 
Ninauza kuchi pia wenye miezi mitatu karibu +255758286181

Kuna dalili za mchezo hapa. Nilituma pesa katika namba hii na since then namba hii haipatikani. upelelezi nwangu umethibitisha kwamba namba hii imefungwa leo saa 4.16 asubuhi na inalekea mwenye namba aliwahi ku-swap namba hiyo. Kama unataka kuku hao chukua hadhari kubwa kabla hujapoteza fedha.
Wasalaam
 
Tushapeana uoga..ela zenyewe za mtaji twaunga unga afu mtu aile kirahisi tu...ntafuga hawa hawa nilionao...
 
Back
Top Bottom