Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Jamani nami nauza kuku wa kienyeji bei sh 12000 my no 0712 527653 anayehitaji anione wangu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Habari wakuu

Vifaranga bora vya kuku, Chotara ya KUCHI, KENBRO na RHODE vinapatikana
Kifaranga cha siku 1-5 2000

Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba

Mawasiliano zaidi - 0712 057514

Karibuni Sana tufuge

PARENTS na VIFARANGA wao
 
Attachments

  • 115.JPG
    115.JPG
    255.6 KB · Views: 418
  • 127.JPG
    127.JPG
    422.1 KB · Views: 416
  • 136.JPG
    136.JPG
    568.1 KB · Views: 451
Habari wakuu

Vifaranga bora vya kuku, chotara ya KUCHI,KENBRO na RHODE vinapatikana

Kifaranga cha siku 1-5@ 2000

Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba

Mawasiliano zaidi - 0712 057514

Karibuni tufuge
 
Habari wakuu

Vifaranga bora vya kuku, Chotara ya KUCHI, KENBRO na RHODE vinapatikana
Kifaranga cha siku 1-5 2000

Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba

Mawasiliano zaidi - 0712 057514

Karibuni Sana tufuge

Hivi vifaranga chotara ambavyo vimetokana na kuchi ambao ni kuku wa kienyeji wanaweza wakatumia chakula cha kienyeji kwa kuokota okota kama kuku wa kienyeji wanavyozunguka zunguka na kuokota?.
 
Hivi vifaranga chotara ambavyo vimetokana na kuchi ambao ni kuku wa kienyeji wanaweza wakatumia chakula cha kienyeji kwa kuokota okota kama kuku wa kienyeji wanavyozunguka zunguka na kuokota?.

Tukundane, Inawezekana kabisa wakaachiwa na kuokota okota ila sasa kwa kuku au mfugo yeyote ukimpatia chakula cha ziada matunda yanakuwa mazuri na mengi zaidi.
 
Wafugaji,

Kwa wafugaji wanaopenda kutotoleshewa mayai yao, Karibuni sana kwani tumeanza kutotolesha mayai ya wafugaji wengine kutokana na wengi kuhitaji huduma hii.

Tunatotolesha mayai ya kuku, Kanga, Bata aina zote, Kware
 
Back
Top Bottom