Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenye uhitaji na hawa kuku ani-pm,jogoo lake kubwa 70 thousand na mitetea ni 60,kwa morogoro tu.
mayai ya kuchi yenye kmbegu yatapatikana ....
Yanapatikana wapi na kwa tsh ngapi?
nahitaji vifaranga 600 vya wiki 5 had 12 napatikana dodoma mjini...
Hao sasa siyo vifaranga
kifaranga cha kuku wa kienyeji wa wiki 5 siyo kifaranga? Ni nini sasa
Habari zenu wadau..naitwa David napatikana Ubungo Kona...nina majogoo ya KUCHI na Majike..nimewatoa katika jamii za wasukuma wanaopataikana katika wilaya ya ulanga huko morogoro katika kijiji cha Itete...kama unahitaji nicheki kupitia hii namba 0717578551 kwa ajili ya maelewano