Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nimefurahi sana kwa maada hii. Mimi ninadawa inayoweza kuwaponya kuku WANAOUMWA KIDELI. Nitafute kwa anayehitaji 0763797853

kila Mwenye maarifaakifanya kama unavyo fanya ww basi Thread hii isingekuwepo na wala hatutofika.
hapa tupo kujengeana uwezo na kupeana Maarifa.

Kuna ubaya gani kama uki itaja hiyo dawa au ukaelekeza namna inavyo tengenezwa? Badilika Kiongozi
 
sina maana hiyo kiongozi kunavitu vingine vinahotaji maelezo sinania mbaya. dawa hii inaitwa CARE tafuta ukiipata sawa ilakama utakosa basi tuwasiliane. Nia ni njema itafsiri nia yangu postively utajua sinalengo baya
 



Mungu akulipe mara mia 200 kidogo
 
Mkuu mm nna kuku wanataga lakini ukichelewa kutoa mayai wanayala....hapo wanakua wana shida gani?
 
Habar wakuu. Naombeni maarifa yenu, mara kadhaa kuku wangu wa kuanzia miezi mitatu hadi mitano wanakufa kwa kulaliana hasa wanapokuwa zaidi ya 30. Nifanyeje ili wasilaliane?
 
Kaka Kibanga Ampiga Mkoloni... Nilidhani kila kuku anabidi kuwa na mpenzi wake!!!!

Mkuu umenifurahisha sana,halafu hapo uliposema kuku huwa hawatotoi wakt wa baridi nadhani ulimaanisha kutaga,ni kweli kutaga huathiriwa na hali ya hewa lkn unaweza kuwasaidia kwa kuwakinga na baridi.
 
Jmn hii bei ya chakula inanitesa kwakweli,hivi nikichanganya pumba na virutubisho km dcp kuku wangu watakua vizuri?hapa nazungumzia kuku wakubwa wa miezi 5 hadi 6.
 
Inawezekana hao kuku ni chotara na sio kienyeji pure,kienyeji lazima alalie mayai,ni ngumu kutofautisha kati ya kienyeji pure na chotara,tafuta kienyeji Kazi yake iwe kuatamia au tafuta Incubator.
 
Wajameni Kuku Wa Kienyeji Wanalipa.
Yani Apa Nimetoka Kuuza Majogoo Mawili Tu Nina 30K Yangu Mfukoni. MiVifaranga Imejaa Hadi Raha.Hawa Majogoo Walisalia Baada Ya Wengi Wao Kuumwa So Katika Watano Waliobaki Nimeuza Wawili Kubakiza Mbegu. Bado Nipo Small Scale Nishapoteza Wengi Kwa Kuibiwa Au Ugonjwa Pia Majogoo Mengine Wanapenda Kugegeda Adi Wanazamia HukoHuko,Pumbavu Zao!!Ila All In All Ni Biashara Nzuri Na Rahisi.
 

Vifaranga wa wiki 2 ninaweza kuwapa MLONGE au Muarobaini kwa ajilia ya kinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…