Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

natafuta mtu anayefuga kuku aina ya Kenbro hususani kutoka mikoa ya Iringa, Dodoma au Mbeya. Ninahitaji mayai kwa ajili ya kutotolesha ila nitahitaji kumtembelea kwanza kuona shughuli zake na kupeana ushauri.
 
Kama wewe ni mkulima na mfugaji kwa vitendo na ungependa kujumuika na wakulima wenzako whatsapp 0717269137 (kama haulimi wala kufuga haikuhusu) WE NEED SERIOUS PEOPLE
 
Kama wewe ni mkulima na mfugaji kwa vitendo na ungependa kujumuika na wakulima wenzako whatsapp 0717269137 (kama haulimi wala kufuga haikuhusu) WE NEED SERIOUS PEOPLE
 
Huu uzi ni kiboko sana. Ni chuo tosha cha ufugaji wa kuku. Nondo zilizoshiba zipo humu. Salute sana kwa Kubota
 
ninaa Chotara wakubwaaa wazuri wako kama 100 ukinunuaaa wote kwa pamojaa nitakuuziaaa 16000 kilaa mmojaa
.. nicheki 0752-109265
 
Vifaranga vitakuwa vya wakwanza
 
Huu uzi ni chuo kabisa nimepata elimu kubwa sana nilikua napata hasara kwa kutojua mengi ila sasa mambo yanaenda asanteni sana!
 
Lakini ukimuwekea mayai viza akaendelea kuatamia halafu baadae ukaweka mayai mazima ili aanze pamoja na wenzake..huoni kama atatotoa kabla akizngatia muda alioanza kuatamia
 
Lakini ukimuwekea mayai viza akaendelea kuatamia halafu baadae ukaweka mayai mazima ili aanze pamoja na wenzake..huoni kama atatotoa kabla akizngatia muda alioanza kuatamia
Mkuu kuku anaweza kukaa mpaka miezi(siku 60) miwili akiatamia mayai yake.
Kinachotakiwa umpe tu chakula na maji lakini pia ukumbuke kuku ana "intelligence" ya kumuwezesha kuacha mayai masaa kama 72 hivi toka kifaranga wa kwanza atotolewe, uwezo huu alipewa na Mungu.

Kama hakuna yao hata moja litakalototolewa, ataendelea kulalia tu mpaka siku 60, na hapa ndipo wajasiriamali huwa wanacheza napo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…