Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatalia mkuu, kuna madini ya hatari sana humu ndaninitaufuatilia huu uzi..................
kweli? maana naona mtoa mada ameishia katikati na kuingia mitini!!Fuatalia mkuu, kuna madini ya hatari sana humu ndani
Dah mkuu umesoma posts zote kweli, inabidi utenge siku kama tatu kufukunyua huu uzi aiseeeekweli? maana naona mtoa mada ameishia katikati na kuingia mitini!!
poa mkuu nakomaa naoDah mkuu umesoma posts zote kweli, inabidi utenge siku kama tatu kufukunyua huu uzi aiseeee
Vifaranga vitakuwa vya wakwanzaDah mkuu hili swali lako ni la kitaalamu sana, inabidi kufuatilia mzunguko wa "hedhi ya kuku" au kitaalamu ovulation cycle yake inatokeaje.
Ngoja nichimbe kwanza kwenye vyanzo vyangu muhimu nitakuletea mrejesho.
Ila kwa sasa siwezi kukujibu maana hili swali ni la kitaaluma sana mkuu, na hii kesi binafsi sijawahi kukutana nayo.
Ngoja nichimbue vitabuni na kuuliza wataalamu wangu wa mifugo nitaleta mrejesho, naogopa kukupa jibu la moja kwa moja maana maandishi haya hukaa vizazi na vizazi.
Lakini ukimuwekea mayai viza akaendelea kuatamia halafu baadae ukaweka mayai mazima ili aanze pamoja na wenzake..huoni kama atatotoa kabla akizngatia muda alioanza kuatamiaInawezekana mkuu, kama ukisoma mwanzo mwa huu uzi mkuu Kubota ameelezea vizuri sana.
Unachotakiwa ni kuchukua mayai yote kwa pamoja halafu unachagua kuku wawili wazuri wanaoweza kuatamia, dhen pale ambapo wanaaza kuonesha dalili ya kuanza kuatamia unawawekea, kuku hana shida kabisa.
Kumbuka kuwa kuna watu wenye kuku wengi ambao huwa wanahifadhi mayai viza, wao huwa kuku akianza tu kuonesha dalili za kuatamia wanamzubaisha kwa kumuwekea mayai viza, na anaweza kuyalalia hata wiki mbili ili asubiri wenzake wakamilishe mayai mengi ya kuatamiza.
Mayai yakishakuwa mengi unamtegea usiku unatoa mayai viza unaweka yale mazuri, kuku anaendelea kuatamia tu.
Zoezi hili hufanyika usiku kwa kuwa kuna baadhi ya kuku "wana nyodo" kama watu na wako makini mno, ukimpa mayai sio yake anasusa kuatamia, lakini hizi ni kesi chache sana ni kesi moja kati ya 1,000.
Karibu sana mkuu.
Mkuu kuku anaweza kukaa mpaka miezi(siku 60) miwili akiatamia mayai yake.Lakini ukimuwekea mayai viza akaendelea kuatamia halafu baadae ukaweka mayai mazima ili aanze pamoja na wenzake..huoni kama atatotoa kabla akizngatia muda alioanza kuatamia