Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

mkuu tafta thread hum. zipo nyingi tu zimeainisha na kuelezea vizuri aina za kuku na sifa zao. pamoja na mbinu mbali mbali za ufugaji
 
Kaka kubota bado umetuacha njia panda bado tunahitaji muendelezo wa uzi wako malizia tafadhali (We still need your help)
 
barikiwa sana maana nimepata somo kubwa sana
Barikiwa sana somo limenifaa kweli Mungu aendelee kukufunulia ha ya mafundisho
 
natamani sana kufuga kuku wa broiller lkn bei za vyakula zipo juu sana na risk ya kufs kwa vifaranga ni kubwa sana....lkn nitafanya maana siwez kujifunza bila kufanya amakosa.

Jaribu tu lazima utaweza mi nilianza na 100 saivi nakimbizana nipo nao 500
 
Haswaaaaaa
 
Mimi ni kijana niliye hitimu katika shahada ya takwimu... Kwasasa Niko kijijini na nina mpango wa kuanzisha project ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara Zaidi kwa mtaji wa laki nane... Naomba kufaham yafuatayo kupitia jamvi hili maridadi :

$ mambo sahihi na basic ya kuzingatia mwanzo wa mradi

$ uhakika wa soko la kuku(nyama) na mayai hasa kwa miji mikubwa inayozunguka mkoa wa Tanga

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Ingia fb kuna kuku project kule
 
Moja a mipango yangu ni kutengeneza chakula cha kuku kwa ajili ya kuuza. Shida kubwa ni formula na raw materials. Nashukuru kwa kunifumbua macho kwenye hiyo soya. Binafsi niliamini dagaa au mabaki ya samaki ni bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…